Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Pombe, mademu na pesa vinaendaga sambamba mno. Siasa unaionea
Na ndio maisha!..
Kazi kweli kweli....aokoke atajirishe kina Kakobe tu, Duniani usipopatwa na hayo ma-anasa manabii feki wanakusubiri...
 
Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1🙂Pombe

2🙂Wanawake

3🙂Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
Ila aisee mwanamke ni sumu sana ....
 
Na ndio maisha!..
Kazi kweli kweli....aokoke atajirishe kina Kakobe tu, Duniani usipopatwa na hayo ma-anasa manabii feki wanakusubiri...
Mm Rc halaf huwa naingia mara chache sana hao manabii Feki nawaogopa kama ukoma.
 
Sasa mimi nataka niache wanawake lakini sio pombe [emoji23][emoji23][emoji1321][emoji1321]
 
Hongera sana mkuu , tutakuombea uzidi kusimama katika wamuzi wako mzuri na chanzo cha maendeleo mkuu
 
Hongera sana mkuu , tutakuombea uzidi kusimama katika wamuzi wako mzuri na chanzo cha maendeleo mkuu
Acha kumchagiza mwenzako hapa duniani tunatafuta fedha
kwa ajili ya kutimiza mambo matatu kula kulea familia na
kuto.mb....haiwezekani ukawa unakula tu bila kutia huo ni ujuha
 
Kooooote sipo,,,,,,,, lakini hapo kwa wanawake hapooooo aisee Mungu nisaidie.
 
Huu ukweli unauma sana, you just cant avoid women, mimi natamani but nimeshindwa, you can hate them all you want but u just cant avoid them, they always manage to get through.
Mtupende tu mkuu maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom