Pombe si dhambiBinadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Hili andiko lipo katika kitabu gani kwenye biblia?Bishana na biblia sasa!!!
Kunywa pombe ni dhambi.So mkemia anayetengeneza Hennesy hajui athari za ulevi? Wakemia wanaotengeneza expensive alcohol za hadi zaidi ya 2m kwa chupa ya mls 750 hawajui athari za ulevi na pombe kiumjumla? Pombe za kifisadi ni zipi? Hebu heshimu Kemia, huenda wewe hata kubalance equation ndogo tu ya form 2 hujui.
Well said mkuu.Mijitu inayopenda sheria kiasili ina Roho Mbaya
Ukiona jitu linaabudu sheria liogope
NB: si vibaya kupenda sheria.! Ila kuabudu sheria ni viashiria vya ushenzi
Itoshe kusema hakuna mlevi mwenye roho mbaya
Pombe ni dhambiPombe si dhambi
Unaweza kunywa kiasiPombe itakuwa na madhara pale utakapozidisha kiasi. Lakini kunywa kwa kiasi si mbaya. Na kwa kuzidisha kiasi kwa kitu chochote, lazima utapata madhara. Wanasema " Too much of anything is harmful "
AIBiblia inazungumzia kuhusu pombe (divai na vinywaji vikali) kwa mtazamo mpana unaojumuisha maonyo dhidi ya ulevi, matumizi yake ya kawaida kama chakula au dawa, na umuhimu wa kiasi.
Hapa kuna mambo makuu yanayoelezwa kuhusu pombe katika Biblia:
1. Onyo Dhidi ya Ulevi Uliokithiri
Biblia inakemea vikali ulevi na kupoteza kiasi kwa sababu huleta madhara ya kimaadili, kiafya, na kifamilia:
- Methali 20:1: "Divai ni mdhihaki, kileo ni mpigaghasia; na ye yote anayetangatanga kwa ajili yake hana akili."
- Methali 23:29-32: Inaeleza wazi madhara ya ulevi, ikiwa ni pamoja na ole, huzuni, ugomvi, na inaonya dhidi ya jinsi divai "inavyogeuka na kuwa nyekundu katika kikombe... na mwisho wake huuma kama nyoka."
- Waefeso 5:18: Mtume Paulo anatoa agizo: "Walevi msilewe kwa divai, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho."
2. Divai kama Baraka au Sehemu ya Maisha ya Kawaida
Katika nyakati za kibiblia, divai ilikuwa sehemu ya chakula cha kila siku na ilitumiwa pia kwenye sherehe au sadaka:
- Zaburi 104:14-15: Inasema Mungu huotesha majani kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya mwanadamu, kutia ndani "divai iishangiliayo mioyo ya wanadamu."
- Mhubiri 9:7: Inashauriwa kufurahia maisha kwa kadiri: "Enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, ukunywe divai yako kwa moyo mweupe."
3. Ushauri kwa Viongozi wa Kiroho
Viongozi na watu wanaotumika katika kazi za Mungu wanapewa maagizo maalum ya kuwa na kiasi kikubwa au hata kujiepusha ili kulinda ushuhuda wao:
- Mambo ya Walawi 10:9: Kuhani alikatazwa kunywa divai au kileo alipokuwa akiingia Hema la Mkutano ili asife.
- 1 Timotheo 3:3 & 8: Waangalizi na mashemasi wanaonywa wasiwe "walevi" au "watu wenye kupenda divai nyingi."
4. Matumizi ya Kitiba
Katika Agano Jipya, kuna ushauri uliotolewa kwa ajili ya afya:
- 1 Timotheo 5:23: Paulo anamshauri Timotheo: "Usiendelee kunywa maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara."
Hitimisho
Mtazamo wa jumla wa Biblia ni kwamba pombe yenyewe (kama kinywaji) haijapigwa marufuku kabisa, lakini ulevi na kutokuwa na kiasi kunalaaniwa vikali. Wakristo wanahimizwa kuishi kwa kiasi, kulinda miili yao kama hekalu la Roho Mtakatifu (1 Wakorintho 6:19-20), na kuepuka vitendo vinavyoweza kumkwaza mtu mwingine (Warumi 14:21).
Umewahi tumia pombe?Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Haya yote hutokea hata kwa kupata glass moja au mbili za wine?
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Pombe si dhambi.Pombe ni dhambi
Kuna ambao hawanywi kabisa lakini wamewaweka wanaume wenziwe kinyumba yani wanawageuza wake zao. Sema jambo hapoUtakuta mtu mdomo umejaa machicha ya pombe anaongea hovyohovyo, anamsahau mke wake, anatukana watoto akirudi kulewa alafu anasema pombe sio dhambi.
Hiyo nayo ni dhambi nyingine nawao wanahukumiwa kivyao. Katika dhambi hakuna aliye bora kuliko mwingine, wote wanatenda dhambi wamepungukiwa na utufu wa Mungu, wakisubiri ghadhabu ya Mungu.Kuna ambao hawanywi kabisa lakini wamewaweka wanaume wenziwe kinyumba yani wanawageuza wake zao. Sema jambo hapo