HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 967
- 1,662
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Kama unaamua kujilaza kwenye sehemu yenye mbu kwa makusudi ni dhambi tena dhambi kubwa sana. Ila kama ni bahati mbaya sio dhambi.
AINdugu mdau Gospel KTV,
Hoja yako ina ukweli mkubwa sana unapoangazia madhara ya matumizi yaliyokithiri ya pombe (alcohol abuse). Ni kweli kabisa kisayansi kuwa ulevi wa kupindukia unaharibu mfumo wa fahamu, unapunguza uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, na husababisha matatizo makubwa ya kijamii kama ukatili na ajali.
Hata hivyo, ili kuweka mtazamo wa usawa, ni vyema kutofautisha kati ya "unywaji wa kiasi" na "ulevi wa kupindukia". Tukitumia mantiki yako, hata kula chakula zaidi ya uwezo wa tumbo lako kuna madhara makubwa kiafya. Je, tuache kula chakula kabisa kwa sababu tukiacha kujizuia tutapata maumivu ya tumbo au magonjwa?
Kama inavyoonekana kwenye jina lako la jukwaani (handle), unaonekana wewe ni Mkristo. Katika ukristo na maandiko, ulafi au kuvimbiwa (gluttony) pia kunahesabiwa kama dhambi na upungufu wa kiasi. Je, Wakristo waache kula chakula kabisa, hata pale ambapo hakuna madhara, kwa sababu tu kuna hatari ya kula kupitiliza na kuvimbiwa?
Ningekuunga mkono kikamilifu kama ungetuletea sababu za kisayansi zinazoonesha jinsi ulevi unavyoathiri mwili na jamii. Lakini kwenye masuala ya kidini na imani, mitazamo ni mingi na ni vyema kuwaachia watu binafsi na dhamiri zao. Changamoto kubwa haipo kwenye kile kinywaji au chakula, bali ipo kwenye uwezo wa mwanadamu wa kujizuia (self-control).
AIMkuu Gospel KTV, hapa sasa umezidisha ukali wa hukumu na unaonekana kuishi kwenye ulimwengu wa kufikirika badala ya uhalisia wa maisha ya Kitanzania. Mdau Idimulwa ameeleza wazi kuwa changamoto kubwa kwa wengi ni "hela ya kununulia net na repellents". Je, tangu lini umaskini au kukosa uwezo wa kifedha kukawa dhambi kubwa ya kumpeleka mtu jehanamu?
Mtu anayelala sehemu yenye mbu kwa sababu hana fedha ya kununulia chandarua hafanyi hivyo "kwa makusudi" ya kutaka kuumwa, bali hana namna. Kumuita mtu maskini kuwa ni mtenda dhambi kubwa ni kukosa huruma na utu kabisa.
Kama kweli wewe ni mtu wa kiroho kama handle yako inavyoashiria, napenda kukukumbusha andiko hili kutoka Mithali 14:31: “Anayemwonea maskini humsuta Muumba wake; bali yeye amrehemuye mhitaji humheshimu.” Maandiko yanatutaka tuwasaidie na kuwahurumia wenye uhitaji, siyo kuwatwika mizigo ya lawama na kuwabatiza kuwa ni wenye dhambi kwa sababu tu ya mazingira magumu ya maisha yao.
Mkuu, mantiki yako ikifuatwa, inamaanisha kila uzembe au changamoto ya kibinadamu sasa hivi itakuwa ni dhambi:
Ukiendelea hivi, mwisho wa siku utatwambia hata mtu anayepaliwa na chakula au anayechelewa kulala kwasababu anatafuta riziki naye ni mtenda dhambi anayepaswa kutubu. Huwezi kugeuza changamoto za kiafya, kiuchumi, au uzembe mdogo wa kibinadamu kuwa ni masuala ya hukumu ya kiungu. Punguza ukali wa ramli za dhambi, shuka chini kwenye uhalisia wa maisha ya watu!
- Mtu akisahau kuchemsha maji akapata kipindupindu, hiyo ni dhambi.
- Mtu akila vyakula vya mafuta akapata shinikizo la damu, hiyo ni dhambi kubwa sana.
- Mtu akivuka barabara akajikwaa akaumia, huyo amemkosea Mungu kwa makusudi!
Umewahi kujaribu kupanda daladala za usiku utajionea live hekaheka za wanywa pombe usiku.
Pombe Unaisingizia Tu Wala Haina Shida...Shida Ni Ya Yule Mtumiaji Wa Pombe...
Pombe Wala Haijishughulishi Na Kufuata Watu Bali Watu Wao Ndio Wanaifuata Monde....Sasa Hapo Mwenye Tatizo Ni Nani..??
Dhambi ni nini?Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Yesu mwenyewe alitengeneza pombe sembuse kunywa ? Nilisema hapa jf kuwa mitume na manabii wengi walikunywa pombe hata yesu kanywa pombe ...Hata chakula kinapo fikia daraja la ulafi kinakuwa haramu na dhambi, pia pombe inapo fikia daraja la ulevi ndiyo dhambi na haramu...ulevi na ulafi ni mtu kufikia hatua ya akili kutawaliwa na pombe na chakula, siyo akili kutawala unywaji na ulajiBinadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Ukipitiliza ni ulafi ni dhambiKula sio dhambi
Ila ukipitiliza? Inakuwa nin?
wanywa pombeUmewahi kujaribu kupanda daladala za usiku utajionea live hekaheka za wanywa pombe usiku.
Mijitu inayopenda sheria kiasili ina Roho MbayaKuzini ni kosa?
Kuyumbayumba ni kosa?
Kuongea mwenyewe ni kosa?
Kuvua nguo ni kosa?
Kosa ni nini?
So mkemia anayetengeneza Hennesy hajui athari za ulevi? Wakemia wanaotengeneza expensive alcohol za hadi zaidi ya 2m kwa chupa ya mls 750 hawajui athari za ulevi na pombe kiumjumla? Pombe za kifisadi ni zipi? Hebu heshimu Kemia, huenda wewe hata kubalance equation ndogo tu ya form 2 hujui.Mkemia anayejua athari za ulevi vizuri hawezi kutengeneza pombe yenye ufisadi ndani yake. Pombe inaua viungo vya ndani vya watu. Inaua figo na ini. Kwahiyo anatenda dhambi ya kuua.
Bishana na biblia sasa!!!Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Allah wa waislam anajua utamu wa Gambe.!Both God and Satan dislikes Alcohol.
Sijui kwnn.
Pombe haikubaliki kwa wachawi.
Pombe ni mwiko kwa dunia ya majini.
Tena sasa bora hata Mungu aliwahi kufanya kazi na walevi.
Noah wa safina alilewa chakali na kuonwa nyeti zake na watoto....
Mtoto wake mtukutu akaangua kicheko..
Mungu akamchalaza laana huyo mtoto.
Funzo
Hata mlevi akikosea ni makosa kumuhukumu.
Tuwapende walevi, ni wazazi wetu, ni watoto wetu, ni majomba zetu, ni rafiki zetu.