Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,622
Hapana kama miez 4+ hiviMiaka miwili inapita😁😁
Hapana kama miez 4+ hiviMiaka miwili inapita😁😁
hata kila nikitaka kuandika nahisi kutapika tapika tuUliona nini mkuu 😁😁
Bro sijagusa tangu january nkipata hamu sana mara ninywe grand malt jana nkapiga apple punch koo likatulia 😁, Malaika mlinzi yupo na mimi
Pole sana mkuuhata kila nikitaka kuandika nahisi kutapika tapika tu
Hongera mimi jana ndo nimejipongeza na ka FOUR COUSINS kwa kukaa tangu january bila kuonja😁😁Bro sijagusa tangu january nkipata hamu sana mara ninywe grand malt jana nkapiga apple punch koo likatulia 😁, Malaika mlinzi yupo na mimi
Tupe ushuhudaAseee
Michache sana hiyo aiseeHapana kama miez 4+ hivi
Wachungaji wanakunywa pombe kisiri siri
Wewe ni muongo bwana😁😁😁Sijawahi kulewa,ila najijua kwa vituko vyangu,nikiona binti mpya namwaga hela kama njugu.
Nini kimetokea😁😁Hapa tu tayari nishaharibu huko😅
Sitasahau siku niliyolewa nikamtongoza mama mkwe
Mara nyingi hua ukimtongoza mtu ambaye haumdhanii kabisa ndio hua wanakubali..naamin kati ya nyinyi mmoja alikubali au ilikuaje na naamin 99% hawakumaindi Wala niniMara ya kwanza kunywa pombe niligusa glasi moja ya konyagi+cocastic nililewa nikaenda kumtongoza shem(mke wa kaka)![]()
Wewe ni muongo bwana
Nipo najilaumu saizi.. nimemwambia mtoto wa mtu nampenda siwezi kuishi bila yeye😂😂Nini kimetokea😁😁
alichukulia simpleMara nyingi hua ukimtongoza mtu ambaye haumdhanii kabisa ndio hua wanakubali..naamin kati ya nyinyi mmoja alikubali au ilikuaje na naamin 99% hawakumaindi Wala nini
Aliishia kunicheka tu hakuna kilichoendeleaMara nyingi hua ukimtongoza mtu ambaye haumdhanii kabisa ndio hua wanakubali..naamin kati ya nyinyi mmoja alikubali au ilikuaje na naamin 99% hawakumaindi Wala nini
Iwe mingapM
Michache sana hiyo aisee
Green light hio ..Mimi ningepress na kupigaAliishia kunicheka tu hakuna kilichoendelea