Pombe mwanaharamu

Pombe mwanaharamu

IMG-20240806-WA0002.jpg
 
Sikumbuki ugomvi ulianzaje ila nashangaa tu nilimng'ata baunsa wa ile bar..
nakuja kushituka nipo hospitali nina mabandeji, kuuliza nimefikaje kumbe kuna watu walirekodi video nzima ya kilichonikuta!. yule hakuwa baunsa tu ni jumong!.
😂😂😂😂
 
Nilienda kumtongoza mke wa jirani yangu tena kwa mlazimisha anipe mzigo wakati jamaa yuko ndani ..... pili nilimtukana boss kisa ameniambia niende likizo mwezi ujao .
Pole sana mkuu hope ulimalizana nao vizuri
 
Nilikunywa gongo nikadata nikajikuta nachinja kondoo bila sababu ya msingi hakuna sherehe Wala Nini kwenye kumchuna ngozi Sasa alooo

Hizo nyama niligawa Kijiji kizima nikaambulia kula maini na Figo tu
Pole sana mkuu😁😁
 
Back
Top Bottom