Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,728
- 58,235
Ahahahah mkuu ukute upo dar nini.😂😂😂😂Ni wakenya sio watu wa dar
Ahahahah mkuu ukute upo dar nini.😂😂😂😂Ni wakenya sio watu wa dar
Yaani yule ana depression kali sana😆..kazi ipoMie kuna wakati alikuwa ananipenda kwa ile ID yake nyingine ilaaaa 🤣 ghafla akaanza vita na mimi na sababu za kuniattack hazina kichwa wala miguu
Huwa nahisi kuna sehemu nilikoment jambo kinyume na anavyopenda
Nipo Mpanda vijijiniAhahahah mkuu ukute upo dar nini.😂😂😂😂
Mm sio kitu sio chchtSasa kaka kweli mi nikunafikie weww mkuu 😂😂😂😂
😁😁😁yeye ndo alikuacha inaonekanaHahaha mie kidogo nimpigie x nimwambie still nampenda and am inlove bado 😃😃😃 ashukuriwe niliekuwa nae alininyanyua tukacheze mziki. Na ningeipiga ile simu
Na ukimjibu hasira zake zikipanda akikujibu hujui nini anachoandika anamaanisha nini 🤣Yaani yule ana depression kali sana😆..kazi ipo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namuombeaga apate mume aise huenda akatulia.hajawahi kueleweka kbs nini anataka😆😆😆Na ukimjibu hasira zake zikipanda akikujibu hujui nini anachoandika anamaanisha nini 🤣
Yes. Too much is harmfulPombe si mwanaharamu bali ainywaye bila busara na kiasi. Pombe si mbaya bali wale waitumiayo vibaya.
Hii ishu ya vijana wa dar sijasema wote mkuu ni baadhi kuna wengine hawana hayo.mamboNipo Mpanda vijijini
Nimepunguza mkuu kuacha ni ngumu
Hapana mbaga wee mi nakuona mtu flan na heshima zako mkuu japo kuna watu wanafosi uwe wa hovyo ila naamini your genius remain mkuu kama kukuambia hvo nakukera naomba nisamehe mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mm sio kitu sio chcht
Mbona kuna wakati anasema hatafuti wanaume,mara ana mahusiano yake 🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namuombeaga apate mume aise huenda akatulia.hajawahi kueleweka kbs nini anataka😆😆😆
Atakuwa kaopoa mshangaziWrite your reply...
Where is tumbili wa mini?
Kama umeweza kupunguza utaweza tu kuacha huko mbeleniNimepunguza mkuu kuacha ni ngumu
Tusaidiane tuache hii kitu😁😁Eh tuwe marafiki tusaidiane😂
Yeah! Nikiolewa na mchungaji nitaacha😁😁Kama umeweza kupunguza utaweza tu kuacha huko mbeleni
😹 Nimelia sanaHapana mbaga wee mi nakuona mtu flan na heshima zako mkuu japo kuna watu wanafosi uwe wa hovyo ila naamini your genius remain mkuu kama kukuambia hvo nakukera naomba nisamehe mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hapa tu tayari nishaharibu huko😅Tusaidiane tuache hii kitu😁😁
Wachungaji wanakunywa pombe kisiri siriYeah! Nikiolewa na mchungaji nitaacha😁😁