dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,733
- 9,970
Me hapo naongeza na WWEHaha kilevi changu ni movies, football, na mbususu
Upo timu ulaya mkuu
Me hapo naongeza na WWEHaha kilevi changu ni movies, football, na mbususu
Ile wanakunywa kupitia kwny mkundu mkuu?Wakuu nnaskia sku izi watu wa dar wana njia flan ya kulewa..
Ety pombe hawanywi kwa mdomo wakuu
Anayejua atuambie wakuu
EPL niko man city kwa big 6, wale wa chini nawakubali Brighton the seagulsMe hapo naongeza na WWE
Upo timu gani ulaya mkuu
Nipo the Gunners Epl, spain nipo madrid ila sio kwa leo 😁😁EPL niko man city kwa big 6, wale wa chini nawakubali Brighton the seaguls
Kwa La liga Los blancos ¡Hala madrid
taifa nipo German
Kuna watu wanaipitisha kwa tundu la nyuma ili walewe haraka 🔥Wakuu nnaskia sku izi watu wa dar wana njia flan ya kulewa..
Ety pombe hawanywi kwa mdomo wakuu
Anayejua atuambie wakuu
Hongera mkuungenye huongezeka maradufu na kudinya saaana
Huu unafiki wako haukupeleki popote mkuu 😂Mbaga your genius
Mh hii mpyaKuna watu wanaipitisha kwa tundu la nyuma ili walewe haraka 🔥
Hiyo ilikuwa hatari sana aiseeUnajua miaka hiyo, shule hizi za O level na A level wanafunzi walikuwa wanakunywa sana pombe sijui siku hizi watoto wako shule na umri mdogo, jamaa yangu alilewa skuli mlango wa bweni akawa hauoni vizuri eti anaona kijimlango cha bweni ni kidogo kama kimlango cha kuku, basi jamaa akawa anainama Hadi akawa anatambaa na kujiminya Ili apite kwenye hicho kijimlango wakati mlango ni mkubwa kabisa hata watu wawili mnaingia kwa pamoja. Basi ilikuwa kituko cha mwaka, ilikuwa pure maji ya mvua lazima udate.
Poleni sana .kuuKuna uzi wa Kiislamu nilikutana na gaidi mmoja, sasa kwenye kupambana nae ndo akanitumia bomu la ban 😂
Pole sana mkuu 😁😁Mara ya kwanza kunywa pombe niligusa glasi moja ya konyagi+cocastic nililewa nikaenda kumtongoza shem(mke wa kaka) 😂
Kwasasa sikumbuk mara ya mwisho kunywa linPole sana mkuu 😁😁