Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,185
- 12,332
Nikilewa tu napokonywa simu😁Nawakumbusha walevi, ukilewa usichat, usipige simu.
Uliona nini mkuu 😁😁Pombe hizi acha tu.
Nilijisahau nikaingia toilet ya madem, kile nilichokiona mule hadi leo kimenipa trauma
Upo kama mimi niliwahi kulewa nikampigia ex wangu nikamtukanaNikilewa tu napokonywa simu😁
Kama mtu aliniudhi nitamporomoshea matusi ya hela yote majuto pombe ikisha kichwani😂😂😂
Sungura gani hiyo mkuu 😁😁Hii sungura niliyokunywa wamenichanganyia mbona kama naandika mambo ya ulevi Wakati sinywi pombe
Mi nikilewa nakumbuka mabaya yoooote niloofanyiwa naanza kuwachana sasa.. ila sio kwamba ni matusi ya moja kwa mojaUpo kama mimi niliwahi kulewa nikampigia ex wangu nikamtukana
Pole sana mkuu ulimaliza kweli😁😁Nilikua nachota maji ndani napeleka kisimani
Aisee wewe upo kama mimi kabisaMi nikilewa nakumbuka mabaya yoooote niloofanyiwa naanza kuwachana sasa.. ila sio kwamba ni matusi ya moja kwa moja
Haha leo game itakuwa ya moto sanaNipo the Gunners Epl, spain nipo madrid ila sio kwa leo
Miaka miwili inapita😁😁Kwasasa sikumbuk mara ya mwisho kunywa lin
haha roho mbaya tu muoneNgoja upigwe ban
Ikawaje sasa mkuu😁😁Sitasahau siku niliyolewa nikamtongoza mama mkwe
Sawa mkuu tunakusubiriaNipo nakunywa, nikilewa ntarudi
Kwanini umeacha kutumia mkuu😁😁Siku ya kwanza kunywa nilikuwa nalia kama mbuzi MEE MEE MEEE
lakn siku hz situmi.
Eh tuwe marafiki tusaidiane😂Pole sana mkuu ulimaliza kweli😁😁