Acha kutafuta visingizio, maovu yote tuliyonayo Tanzania/duniani hayatokani na pombe.
hata hichi ulichoandika hapa ni uovu
Acha kutafuta visingizio, maovu yote tuliyonayo Tanzania/duniani hayatokani na pombe.
99% wanaume wanaokunywa bia hawana nguvu za kiume
my signature says it all.
Nipe faida moja ya kunywa Bia nami nitakupa hasara mia
Kulewa

Mlimbwende anayejipatia malisho kwa njia ya filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, amefunua kinywa na kutema kauli tata kuwa anapokuwa mbali na mpenzi wake Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond', kitu pekee kinachompa faraja ni pombe.

Akizungumza na The Biggest IQ Paper, Ijumaa Wikienda jijini Dar juzi, Wema aliweka kweupe kuwa, anapokuwa mbali na laazizi wake huyo, njia pekee ambayo huitumia kuondoa mawazo na kukidhi hisia zake za kimapenzi ni ‘kujimwagia ulabu' ambao humfanya ajihisi yuko na staa huyo wa Ngoma ya Moyo Wangu.

"Diamond amesafiri kwenda Uarabuni kutafuta maisha, unajua anaposafiri baadhi ya watu hudhani kuwa ‘nabanjuka' na wanaume wengine, lakini ukweli ni kwamba huwa najiliwaza kwa pombe kali,"alisema

Wema.
Thubutu, waijua konyagi?99% wanaume wanaokunywa bia hawana nguvu za kiume

Source???
I keep on asking myself, time and again. Why do we Drink Beer!
Is it that we get many friends?
NO
These are just Drinking partners, And A person with seven Friends who drinks, will be Spending Less time Drinking than a person with ten Drinking friends. Bear in mind That most of the time you get a call from your Drinking friend on a sunday is that he want you share some Drinks ama?
Then why Do we Drink.
May be we get good deals there!!
I SAY AGAIN NO.
Very few get good deals in Drinking places!!, Mostly The ones we call madalali or meshen town guys.
Or even if you ever get good deals in there, Does the deal pay compared to the number of beers you have been Drinking since you started drinking.
Or may be is a kind of social activity.
If Am to choose I cannot choose Drinking as my social activity as I dont see the reason as to why I take something which makes me have a face of an old man at the age of 29.
Is it that tunataka kusahau matatizo yetu.
YES
Chapa maskini Pombe asahau shida zake!!! How do you see that?
Does forgeting your problem solve the problem.
Then why do we Drink?
Do anyone have an answer?
Ndio maana nimeacha kunywa siku ya tatu leo. Pombe ni gharama jamani, wengine magari yetu yako bar sa ivi. My lips will never touch any liquor from now on. Kitu bitter lemon tu sa ivi. May God help me. Ameen
You drink so that the government could collect more taxes. Kodi za madini zimetushinda kukusanya tumebaki na hizi za pombe tu ambazo ni rahisi kuzikusanya kwani walevi wametekwa nyara na ulevi na hawana jinsi isipokuwa kulipa tu. Kila mwaka zinaongezeka lakini wao wanakunywa tu.
Kweli utingo akilewa anasahau matatizo anayopewa na Dereva wake

my signature says it all.

Nipe faida moja ya kunywa Bia nami nitakupa hasara mia

we mkare nimeipenda mbaya..
my signature says it all.
Nipe faida moja ya kunywa Bia nami nitakupa hasara mia
Vivy, Niliwahi kukupa hiyo faida wewe hukunipa hasara mia narudia tena kwa kwa kumkoti Prime Minister akifunga bunge kuwa faida ya pombe ni kodi kwa serekali. From there tunapata mishahara kwa watumishi wa umma, Dawa za hospitali, tunajenga bara bara nk.... kwa ujumla serekali inaendeshwa kwa kodi na kwa tanzania kodi kubwa inatokana na ulabu....hata vigoldi na vitanzanite na kilimo kwanza ni utani tu mambo yote laga.....ona hapa sasa nasubiri hasara mia na ole wako zipungue hata moja....
Katika hotuba yake wakati wa kuahirisha Bunge Jana, Waziri Mkuu alitoa pongezi na kuzitaja Makampuni au Mashirika yanayoongoza kwa kulipa Kodi hapa nchini.Alisema kwa kipindi Cha mwaka 2005 na 2011 Makampuni hayo yamekuwa yakifanya vizuri katika ulipaji Kodi.Aliyataja Makampuni hayo Kama ifuatavyo;
1. Tanzania Breweries Company(TBL) Shilingi Bilioni 165.4
2. National Microfinace Bank(NMB). Shilingi Bilioni 108.6
3. Tanzania Cigarette Company(TCC). Shilingi Bilioni 92. 1
4. National Bank of Commerce(NBC). Shilingi Bilioni 89.9
5. CRDB LTD Shilingi Bilioni 79.2
6. Tanzania Ports Authority(TPA) - Shilingi Bilioni 76.8
7. Tanzania Potland Cement - Shilingi Bilioni 73.4
8. Airtel(T) LTD - Shilingi Bilioni 63.6
9. Tanga Cement Company - Shilingi Bilioni 43.6
10. Standard Charted Bank - Shilingi Bilioni 40.0
11. City Bank. Shilingi Bilioni 35.7
12. Resolute(T) LTD. Shilingi Bilioni 32.1
13. TICTS. Shilingi Bilioni 25.9
14. Tanzania Distillers LTD. Shilingi Bilioni 13.4
15. Group Five International. Shilingi Bilioni 9.5