Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Poleni sana wana Ccm
Mwita25 anapretend tu huyu. Hana alichobadilika hata chembe.
Hapa wanamaanisha kuwa CDM ikipewa nchi kila mtu ataamua kufanya anachokitaka. Kila mtu atakuwa juu ya sheria.
Hilo ndiyo tatizo, halafu hakuna malipo au fidia.
Unataka serikali iwe ur watchdog? Ikufuatilie kila unachokiafanya?Walipo jenga serkali ilikuwa likizo? Lakini sina cha kulia Mbwa kala mwanae!
Taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka Dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na CDA dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa CCM ni mwisho.
Source: WAPO FM patapata.
Hv wewe Rejao? Ndiyo wewe juzi ulikuwa unatibiwa pale wodi ya vichaa hapo Mirembe? Ama nimekufananisha?Poleni sana wahanga.
But sheria lazima ichukue mkondo wake.
Jamani tuache siasa katika mambo kama haya!!
Mimi upanda wangu sielewi hidden story ya issue hii, so siwezi changia. Kama kuna mwana bodi mwenye ifno za lsaga hili amwage vitu, twended sawa!!
Unataka serikali iwe ur watchdog? Ikufuatilie kila unachokiafanya?
Walipo jenga serkali ilikuwa likizo? Lakini sina cha kulia Mbwa kala mwanae!
Oooh..kumbe juzi tu ndio umetoka mirembe? Karibu duniani, angalia kisilipuke tena.Hv wewe Rejao? Ndiyo wewe juzi ulikuwa unatibiwa pale wodi ya vichaa hapo Mirembe? Ama nimekufananisha?
kwani kazi ya serkali ni nini? ni kusubiri na kuharibu maendeleo ya wananchi, au! Ndiposa nimesema mbwa koko kala mwanae cha kulia sina!
watanzania wanatabia ya kupuuzia na kudharau mambo. .
Sheria zipo na tumezitunga sisi wenyewe. Kama unaona una haki sana, nenda kwenye vyombo vya sheria.
Kumbuka pia maamuzi ya serikali siyo 100% perfect. Maamuzi yanafanywa na watendaji kama sisi, sometimes huwa wanakosea. Kama kwa hili wamekosea, hao wananchi wanachotakiwa ni kuisue CDA then wakishinda watalipwa fidia yao.