Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

Jamani tuache siasa katika mambo kama haya!!

Mimi upanda wangu sielewi hidden story ya issue hii, so siwezi changia. Kama kuna mwana bodi mwenye ifno za lsaga hili amwage vitu, twended sawa!!
 
Taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka Dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na CDA dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa CCM ni mwisho.
Source: WAPO FM patapata.

Tena hapo CCM ilishinda kwa kushindo wanasema ushindi wa tsunami wacha waadabishwe
 
Jamani tuache siasa katika mambo kama haya!!

Mimi upanda wangu sielewi hidden story ya issue hii, so siwezi changia. Kama kuna mwana bodi mwenye ifno za lsaga hili amwage vitu, twended sawa!!

mkuu badilisha avatar hiyo inatutia majonzi
 
Inawezakana ikawa ndiyo sababu ya kukatakiwa mkutano wa Chadema labda walihisi Chadema wataongelea jambo hilo ? Dodoma wanaipenda sana CCM acha wamalizane nao .
 
Unataka serikali iwe ur watchdog? Ikufuatilie kila unachokiafanya?

kwani kazi ya serkali ni nini? ni kusubiri na kuharibu maendeleo ya wananchi, au! Ndiposa nimesema mbwa koko kala mwanae cha kulia sina!
 
Poleni wahanga.

Hiyo ni fundisho kwa wote wanaovamia maeneo hovyohovyo. Hongera jeshi la polisi.
 
Sheria zipo na tumezitunga sisi wenyewe. Kama unaona una haki sana, nenda kwenye vyombo vya sheria.
Kumbuka pia maamuzi ya serikali siyo 100% perfect. Maamuzi yanafanywa na watendaji kama sisi, sometimes huwa wanakosea. Kama kwa hili wamekosea, hao wananchi wanachotakiwa ni kuisue CDA then wakishinda watalipwa fidia yao.

Hapa afadhali umeona kosa lililofanyika ambapo dola na CDA hawajaheshimu mhimili mwingine wa utawala (mahakama).
 
Wawape nyumba zingine walidanganywa wakati wa uchaguzi wakakubali. Wagogo hilo ni darasa maana tshirt, kofia, chumvi na pombe za kienyeji mlidhani ndio maisha. Poleni lakini na inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom