Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

Khaa Mwayego nyie sasa mmezidi dhuluma kama hizo ndizo zinazowafanya wananchi kuwauwa viongozi wao kama vibaka wa kawida mambo kama hayo yanatengeneza kisasi ndani kabisa ya roho ya mwanadamu, sasa swali Huyo tajiri sijui RIDHIWAN huyo?

na hao wenyeji nani katangulia, wapeni haki yao ndugu zetu wakonongo acheni ubabe mtauwawa kama GHADAFI, KAMA YEYE ALIKUA ANASAIDIA WANANACHI WAKE kupita nyie kauwawa itakuwaje kwenu ikifika zamu.
 
Back
Top Bottom