Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Kawaida BAK sioo mzungumzajiii kivileeeee Ukiona ivi Fumba Macho...We are not in peace any more God forbid.Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote tunayoyaona nchini mwetu tuyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.