Hii swali yako mtupie MMM.Hivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Magufuli yenyewe ndio "mabadiliko". Wewe jitayarishe tu kuishi kama mashetani na kukaza mkanda.Utafika wakati Magufuli atashindwa kuzuia mabadiliko. Nchi ngumu sana hii.
Magufuli , Tulia na Intelijensia ya polisi ndio kiboko na mbogo wa demokrasia. Hii ni nchi ya Domo-krasi tu na kauli mbiu za ze utamu kwa ajili ya kutongozea wadanganyika.Utafika wakati Magufuli atashindwa kuzuia mabadiliko. Nchi ngumu sana hii.
Polis sasa wanawinda matairi ya Magari ya Magari yanayopita kwenye barabara ya mwendo kasi .Gari litakalopita katika barabara za mwendo kasi, police kamateni chomoeni matairi mkauze
anaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .Siku zote ukiona mtu anakuzuia usiseme kuhusu yeye ujue anayo MAKANDOKANDO tele na hayo MAKANDOKANDO yanamfanya ashindwe kujiamini.
Pia mtu huyo labda anawalisha wenzake MATANGO PORI na anahofia wewe unaejielewa ukiongea utafanya wanaomezeshwa MATANGO PORI wazinduke.
Labda pia mtu huyo UWEZO wake ni mdogo mno kukabiliana na HOJA zako zilizoshiba ndo zikaenda shule!
Hahahaa. umenifanya nicheke sana.MKUU ANGALIA WATAZINGIRA MAKAZI YAKO MUDA SI MREFU.
anaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .
Mkuu kwa askari ni kutekeleza amri kwanza alafu kuuliza baadaeLabda Polisi wanataka kujustify manunuzi ya zile Washawasha zao - kwa kuzitumia kuchapa watu. Haingii akirini kwenda kuzuia "mahafari" yanayofanyika ndani, tena kwa hali ya amani kabisa. Sijui Magufuri anaogopa nini. Masikini police nao kama makondoo tu. Wanatii amri bila shuruti na bila kuhoji japo kidogo tu.
Kwa maana yao hata kwenye kampeni watazuia wapinzani wasiongee? Watanzania tumeshawajua hao serikali kuwa wana madhaifu wanaficha ndiyo maana leo hii bunge linaendeshwa kibubuSiku zote ukiona mtu anakuzuia usiseme kuhusu yeye ujue anayo MAKANDOKANDO tele na hayo MAKANDOKANDO yanamfanya ashindwe kujiamini.
Pia mtu huyo labda anawalisha wenzake MATANGO PORI na anahofia wewe unaejielewa ukiongea utafanya wanaomezeshwa MATANGO PORI wazinduke.
Labda pia mtu huyo UWEZO wake ni mdogo mno kukabiliana na HOJA zako zilizoshiba ndo zikaenda shule!
Nikweli kabisa mkuu watu 45 million kutufunga midomo itakuwa ni kazi ngumu sanaUtafika wakati Magufuli atashindwa kuzuia mabadiliko. Nchi ngumu sana hii.
Kitaeleweka tu, maana jua likiwaka halichagui mahaliMagufuli yenyewe ndio "mabadiliko". Wewe jitayarishe tu kuishi kama mashetani na kukaza mkanda.
Hilo nalo neno maana walishapewa ruksa na mkuluPolis sasa wanawinda matairi ya Magari ya Magari yanayopita kwenye barabara ya mwendo kasi .
Mradi tunayo kwenye makaratasi hayaozi hayo ni muda tuanaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .
Sio tendency magufuli anaiga kuwa dikteta kwa tanzania inaonekana wazi amekua dikteta nyumbani kwake sasa kapewa a bigger house so alienda rwanda kufanya orientation ili aje kutekeleza atawa diktate his house na polisi na makonda,nape,january,majaliwa na midoli kadhaa kwenye serikali yake but surely he wount do this for long that is a factHivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Uzi huu unaweza kabisa kuwa muafaka kuhusu unyanyaswaji mkubwa unaofanywa na Polisi nchini katika kubaka demokrasi ili kutimiza lengo la Dikteta la Watanzania kuishi kwenye nchi iliyojaa vitisho vya hali ya juu. Kufungua uzi mwingine pia wa manyanyaso ya Polisi nchini RUKHSA.
Burundi wanasema rais ndiye mungu wa pili hapa dunianiNi kwa sababu ni mtu asiyekubali kukosolewa.
Yeye anaamini kwamba anayoyafanya hayana sababu ya kukosolewa.
Hiyo basi tena mkuuHaya yote Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kayaweka kwenye ripoti yake ambayo sasa inapigwa vumbi ndani ya Ikulu na hakuna dalili kama itajadiliwa Bungeni.