Polisi wamsaka ...

Wakuu...mkae..mkijua..policcm ni vibaraka wa magamba wao wanatumwa...
 
Reactions: BAK
Polisi watakomesha VIBAKA wa aina yoyote watakaojaribu kupimana UBAVU na serikali halali iliyochaguliwa na wananchi... shabeshiii!
Naona wewe ni mgeni sana wa siasa za Tanzania hilo neno vibaka linawahusu ccm, kwa mujibu wa mgombea urais kupitia ccm madaraka nyerere, sasa wewe unadandia mambo husiyo yajua
 
Reactions: BAK
Yule Mzee alikuwa na uwezo wa kuona mbali sana Mkuu. Mambo aliyosasema miaka 53 iliyopita lakini bado yako valid hadi hii leo. Apumzike kwa amani.

Daaaaa watu mnafukunyua, salute sana mkuu!
 
Gari litakalopita katika barabara za mwendo kasi, police kamateni chomoeni matairi mkauze
 
Reactions: BAK
Jipu la Lugumi limesababisha spidi ya utumbuaji ipungue chezea wenye nchi yao.
Na ndio maana mikusanyiko inakataliwa kwa kuwa mtaanza kudebate. Afadhali wangeacha tu hii mikutano tutolee nyongo zetu. Wsoga hao.
 
Labda Polisi wanataka kujustify manunuzi ya zile Washawasha zao - kwa kuzitumia kuchapa watu. Haingii akirini kwenda kuzuia "mahafari" yanayofanyika ndani, tena kwa hali ya amani kabisa. Sijui Magufuri anaogopa nini. Masikini police nao kama makondoo tu. Wanatii amri bila shuruti na bila kuhoji japo kidogo tu.
 
Reactions: BAK
Siku zote ukiona mtu anakuzuia usiseme kuhusu yeye ujue anayo MAKANDOKANDO tele na hayo MAKANDOKANDO yanamfanya ashindwe kujiamini.
Pia mtu huyo labda anawalisha wenzake MATANGO PORI na anahofia wewe unaejielewa ukiongea utafanya wanaomezeshwa MATANGO PORI wazinduke.
Labda pia mtu huyo UWEZO wake ni mdogo mno kukabiliana na HOJA zako zilizoshiba ndo zikaenda shule!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…