Polisi wamsaka ...

Natamani kumsikia John Mnyika arudie tena ule usemi Raisi Magufuli ni Dhai##### halafu nione hatua gani itachukuliwa kwake! By the way nchi inavyoendeshwa kwa utawala huu wa JPM Libya is coming very soon!
 
Hivi toka lini mtu akawa dikteta wakati anajua baada ya miaka kumi atarudi uraiani? Magufuli sheria mnalinda, nyie kama mna hoja mpingeni kwa hoja siyo kulalama kama watoto wadogo

Kwa sababu ana uhakika atakayemrithi ndo yule yule kutoka CCM ile ile....wanalindana.
 
Huu uzi sijui kama utadumu sana bila kupigwa panga
 
Ngoja kwanza niendelee kula bapa na nyama mbuzi choma si mnajua leo ni weekend wakuu!!
 
Unadhani polisi wanapaswa kufanya nini au kuchukua hatua gani kama watu hawatii sheria bila shuruti?
 
Hilo nalijua Mkuu, uzi huu hauna maisha marefu utapotezwa muda si mrefu ujao. JF ya siku hizi si JF ile ya zamani. Wakiufuta basi nitaamua kupumzika maana haina maana ya kuja hapa jamvini kujadili kuhusu mustakabali wa nchi yetu huku tukiwa hatuna uhuru wa kufanya hivyo.

Huu uzi sijui kama utadumu sana bila kupigwa panga
 
Wanashindwa kuelewa kuwa na wao wana ndugu hivyo wanawaumiza pia
 
Kamata piga risasi wachochezi wote Si MDA wa siasa Ni kazi tuu Na kujenga uchumi
Mkuu naona umevimbiwa na kuchoshwa na amani tuliyo nayo,inakuwaje unaongea mambo ya simanzi namna hiyo?huo ndiyo uhuru kweli?unaichonganisha serikali na wananchi bila hata aibu?ukikamatwa na kushitakiwa utalalamika?ebu kuweni na utaifa kwanza
 
walaaniwe sana viongozi wetu wastaafu na viongozi wetu wa dini kwa kukaa kimya. hawa wanasubiri maafa ndipo waje kusuluhisha....
 
Uhuru wa kuwasiliana na kuongea ni msingi wa demokrasia.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…