Polisi mpakani Tunduma watia aibu kwa kuwakamata mawakala wa Zambia waliokuwa hawajavaa sare

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,226
Reaction score
3,173
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha kushangaza polisi wetu wakawashikilia utadhani kuna uhalifu wamefanya. Shukrani kwa TRA kwa kuingilia kati.

IGP toa semina kwa polisi wa mipakani kujua mipaka yao ya kazi. Vinginevyo wataleta matatizo ya kidiplomasia baina ya nchi zetu. SOMA HII HABARI KAMA ILIVYOANDIKWA NA GAZETI LA KALEMBA.

Lucas Mwashambwa akiiona habari Kama hii huko alipo anakenua tu.
 
na walaumu jeshi la zambia kwa kushindwa kuja kukomboa mateka raia wa nchi yao
polisi wa tz hawaaminiki, wengine ni watuwasio kuwa na wazazi., wasiojulikana
 
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha kushangaza polisi wetu wakawashikilia utadhani kuna uhalifu wamefanya. Shukrani kwa TRA kwa kuingilia kati.

IGP toa semina kwa polisi wa mipakani kujua mipaka yao ya kazi. Vinginevyo wataleta matatizo ya kidiplomasia baina ya nchi zetu. SOMA HII HABARI KAMA ILIVYOANDIKWA NA GAZETI LA KALEMBA.

hivi hawajui kama watanzania pia wanaishi na kufanya kazi chi jirani unapowafanyia figisu hapa kwenu unahatarisha maisha ya watanzania wenzako huko nje
 
Yaani inasikitisha sana. Pale boda ni kawaida kuona polisi wa TZ wanaenda kukamata watu upande wa Zambia
 
hivi hawajui kama watanzania pia wanaishi na kufanya kazi chi jirani unapowafanyia figisu hapa kwenu unahatarisha maisha ya watanzania wenzako huko nje

Wanajali hilo basi, kwanza akili za kuwaza hivyo hawana
 
NChi ipo ICU inapumulia mashine.
Bado pigo moja itasalimu amri.
 
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha kushangaza polisi wetu wakawashikilia utadhani kuna uhalifu wamefanya. Shukrani kwa TRA kwa kuingilia kati.

IGP toa semina kwa polisi wa mipakani kujua mipaka yao ya kazi. Vinginevyo wataleta matatizo ya kidiplomasia baina ya nchi zetu. SOMA HII HABARI KAMA ILIVYOANDIKWA NA GAZETI LA KALEMBA.

Kuna wale wa kyela waliingia Malawi kuwakamata wauza gongo kipindi cha kamanda siro na kazi yenyewe wakafukuzwa
 
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha kushangaza polisi wetu wakawashikilia utadhani kuna uhalifu wamefanya. Shukrani kwa TRA kwa kuingilia kati.

IGP toa semina kwa polisi wa mipakani kujua mipaka yao ya kazi. Vinginevyo wataleta matatizo ya kidiplomasia baina ya nchi zetu. SOMA HII HABARI KAMA ILIVYOANDIKWA NA GAZETI LA KALEMBA.

Wavumiliwe tuu wengi ni divion 4 na wengne darsa la 7 wale wanaitwa "Bigula "
 
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha kushangaza polisi wetu wakawashikilia utadhani kuna uhalifu wamefanya. Shukrani kwa TRA kwa kuingilia kati.

IGP toa semina kwa polisi wa mipakani kujua mipaka yao ya kazi. Vinginevyo wataleta matatizo ya kidiplomasia baina ya nchi zetu. SOMA HII HABARI KAMA ILIVYOANDIKWA NA GAZETI LA KALEMBA.

Kama hao wazambia walitaka kuhamishia vurugu zao Tanzania utajuaje?
Mimi nasema hao wazambia wapigwe tu.
 
Polisi wengi uelewa na Elimu ni tia maji, tia maji. Hapohapo mnawapa uhuru wa kupiga watu kama wanaua nyoka. Mnategemea kwa akili hizo kisoda watambue hii ni nchi jirani, wana taratibu zao. Wao hakuna wanalolielewa, wataleta tafrani nchi zote za mipakani. Kichaa kapewa rungu.
 
Back
Top Bottom