King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,156
- 95,887
Hana Jina huyo Kamanda?
Kama ndivyo Laana inafanya kazi Magufuli Ndio wa kwanza kufa na laana.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kali...
i Mbowe wala Lisu mwenye furaha kwa sasa
Mkuu unamjua mdude?Hi nchi ngumu sana utashangaa huyo Mdude akipatikana akiulizwa nani alikuteka atasema ni Siri siwezi kusema
Mwacheni mdude avune alichopanda!
Mwanakulitafuta mwanakulipata!
Mimi nilikuwa nashangaa sana kwa kashfa na matusi anayoyatoa kwa viongozi wa nchi kwanini hachukuliwi hatua za kinidhamu na kisheria!
Hao UWT ni wapumbavu snHizo ndiyo hatua za kisheria? unajua maana ya rule of law? Chombo kinachotafsiri hatua za kisheria ndiyo kimetfsiri hivyo?
Tunaamini taarifa ya mke wake na siyo haya matapeliMke wake kashatoa taarifa.
Hili tukio alitoa taarifa jana jioniMdude kama unafuatilia statement zake tangu ameanza kukamatwa hakuna siku ameficha hata hili tukio alitoa taarifa siku mbili nyuma kua polisi wanamwinda wapajue anapoishi ili wamteke.
Wachache wapi? sema wote, unatetea nini?Baadhi ya polisi wachache wanalichafua mno jeshi la polisi
RightHaya mambo ya kusema baadhi ni kama kutaka kuwaisolate watu fulani fulani ,sijui kwa manufaa na nani? .
Polisi wote wa nchi hawana jema kama una mtu wa karibu kaa nae mbali mzee otherwise kuna siku litakukuta Manjagu sio kabisa yaani.
Ukiona wamekanusha hivyo ujue tayari wameshamalizana nayeNdo ashapotezwa hivyo aisee.
hakuna tegemeo tena, Mdude is no longer alive. Mungu atawalipa srikali hiiHi nchi ngumu sana utashangaa huyo Mdude akipatikana akiulizwa nani alikuteka atasema ni Siri siwezi kusema
Exactly!Ukiona wamekanusha hivyo ujue tayari wameshamalizana naye
Aibu snExactly!