jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,003
- 22,543
Kaka-shemeji, ni kweli he doesn't have to feel he is alone. Lakini ameanza kutu-isolate. Haeleweki eleweki hivi! Na hajui tukimaliza kutumia akili zetu kumtafakuri tutaanza kutumia sub-concious minds.
Ok Dada-shemeji,na kutu isolate kwa maana ya ukimya siyo?Unaweza ukanitajia matendo yake ama mambo at least matatu kuonyesha ama kujustify hizi feelings kwamba anatu isolate?Halafu ndo tuanze kuyajadili hayo mambo ki JF style.Ebu list afew suspicious moves.Kova naona kaamuwa kukaa kimya?