Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

Kaka-shemeji, ni kweli he doesn't have to feel he is alone. Lakini ameanza kutu-isolate. Haeleweki eleweki hivi! Na hajui tukimaliza kutumia akili zetu kumtafakuri tutaanza kutumia sub-concious minds.

Ok Dada-shemeji,na kutu isolate kwa maana ya ukimya siyo?Unaweza ukanitajia matendo yake ama mambo at least matatu kuonyesha ama kujustify hizi feelings kwamba anatu isolate?Halafu ndo tuanze kuyajadili hayo mambo ki JF style.Ebu list afew suspicious moves.Kova naona kaamuwa kukaa kimya?
 
zomba pamoja na ugamba wake aliwahi kuhoji hapa, swali nililojiuliza alfajiri ambayo Uli aliokotwa Mabwepande. Ilikuwaje akaenda kuonana na mtu wa state house peke yake tena usiku, kuongelea mgomo wa madaktari?

Ajieleze ili nae ajibu maswali ya watu. Still hai_justfy kuteswa na dola, lakini hii inaweza kuwa muendelezo wa mambo mengine tusiyoyajua wala kutaka kuyahoji!
Hapa kuna pointi,inawezekana alitaka rushwa?Ama alitaka aambiwe nini na huyo mtu wa ikulu usiku usiku amabalo lina manufaa na mgomo na si manufaa yake binafsi?good question.
 
Last edited by a moderator:
Mwakyembe alipokuwa India alikuwa anaona kama anachelewa kufika nyumbani ili awahabarishe Watz yalimkuta, alipowasili kimya!!!!! hali kadhalika kwa Dr. Uli sidhani kama kuna jipya.
 
Ulimboka keshapata fungu lake tayari tutabwabwaja wee yeye yuko kimya anakula bata tu,siku ulimboka akiwataja hadharani "nahama nchi" waliosoma upepo mapema jamaa baada ya kurudi wakanyamaza sababu walijua jamaa kesha kuwa kigeugeu baada ya kupozwa kwa kitu,Kova naye namshangaa kesi tushazoea kuambiwa iko mahakamani hatuwezi kuiongelea hii ya ulimboka yenyewe kumbe hainashinda hata kama inasikilizwa inaongelewa tu..

Acha uongo,hilo fungu ww ndo ulitumwa umpelekee......
 
NI SISI WANAJAMII YA TANZANIA TULIOKUUNGENI MKONO DOKTA ULIMBOKA NA JUMUIA YA MADAKTARI WAKATI ULE WA SHIDA NDIYO TUTAKAYOKUGEUKA HATUA MIA KIDOGO ENDAPO DALILI ZOZOTE ZA UNAFIKI UTAJIDHIRISHA HAPA

Dr Ulimboka, usiombe ikitokea jamii iliokuamini IKAKUGEUKA kwa kuhisi usaliti wa aina yoyote kutoka kwako. Ukitaka kulifahamu hili hebu kalitazame CCM hivi sasa kinavyosikitisha kote nchini.

Ni vema ikaeleweka mapema kwako kwamba ujumbe wa nini kilichotokea MabwePande na ni akina nani walihusika WALA SI UJUMBE AMBAO NI MLI YAKO BINAFSI kuchezea upendavyo mwenyewe tu au kuamua kufanyia biashara ya aina yoyote ile.

Hata hivyo bado tunakupa muda kidogo ila ni vema tukakufahamisha mapeeeeeeeeeeeema huu mzigo wa JAMII KUKUGEUKA ulivyo mzigo mzito ajabu kuliko hata GUNIA LENYE MISUMARI YA MOTO.

Kutokana na maelezo hayo hivyo ni vema ukafikiria vizuri kabla ya kuchukua hatua yoyote katika sakata hili lililotusikitisha na kutusikitisha mno.

Vile vile si vibaya tukakukumbusha hapa kwamba MAELEZO JUU YA KITU GANI KILITOKEA MABWEPANDE wala usije ukachanganya madesa ukadhania kwamba hayo yote ni mali yako binafsi, laa hasa!!

Chochote kilichokutokea kilikutokea ukiwa katika OFISI YA JAMII hivyo sisi kama sehemu ya jamii ya taifa hili TUNALO DENI NA WEWE kujitokeza kuja kutupa maelezo bila kubembelezwa - kama kuna jambo la msingi sana linalokuzuia kufanya hivyo kwa sasa nalo basi ukatufahamishe kwa wakati.
 
Pesa ni lazima watajaribu kumpa,hilo halina ubishi kama unaielewa bongo vyema.Na kama amefanya hivyo,yani kuzipokea,tutajuwa tu.Tusi rush kwenye conclusion.

Kama anapita hapa,comments zetu zinatakiwa zimu encourage ili tusije kuendelea kupeana lawama za unafiki.He doesn't have to feel like he's alone,kwahiyo tusifanye kosa la kumu alienate.Ni mtu amabaye pande zote zinamuhitaji kwenye mustakabali wa Taifa.Mafisadi wanamtaka and so as wanaharakati na wazalendo,kila mmoja kwa nia yake.Ni juu yake kuchagua upande sahihi wa historia ili isije muhukumu tofauti.Akumbuke hilo tu.

Ulichoongea ni sawa kabisa lakini watz wanaishiwa cha kuongea kwa sababu wakati anaondoka moto huku ulikuwa umeweka kweli watu tukaaminishwa kuwa vyombo vya dola vimehusika kwa namna moja au nyingine lakini kwa sababu hajatamka kwa kinywa chake basi acha tukubali kwamba dola haijahusika hata kidogo bali ulikua mkasa wa kawaida japo ilikua co-incidence kwa kutokea kipindi cha mgomo.Na zaidi inabidi sasa angalau atoe tamko kuhusu taarifa ya gazeti la mwanahalisi kama walipika taarifa watz tujue japo tunaamini mwanahalisi hawabahatishi na huo ndo ukweli
 
Naanza kumdharau huyu jamaa, wala hana ujasiri tuliodhani anao. Wa tz tuendelee na mambo mengine ya maana tuachane naye amalzane na watesi wake kwa shari au heri.
 
Bado tuendelee kumpa muda kidogo mkuu kabla ya jamii kuamua kumhukumu jumla.

Naanza kumdharau huyu jamaa, wala hana ujasiri tuliodhani anao. Wa tz tuendelee na mambo mengine ya maana tuachane naye amalzane na watesi wake kwa shari au heri.
 
hivi kumbe hii sinema bado haijaisha? haya ngoja tusubiri tuone nani atakuwa stering.
 
Muhusika mbona anajulikana tangu siku nyingi tu, ana-makazi yake pale Magogoni. Ngonjera hizi wakampigie mtu mjinga.
 
Wewe kutaja jina lako halisi tu unaogopa halafu unamsakizia mwenzako aingie kwenye vita na dola!!! Nyinyi watu mko very ridiculous...

wewe tu ndo unajua hili sio jina lenye kunitambulisha....ukija mtaani kwangu nafahamika ivo,maskani yangu Kimara Temboni wananifahamu...mate zangu MUHAS(MUHIMBILI UNIVERSITY)wananijua kwa jina hili toka enzi....nina historia ya kumu-attend mgonjwa akiwa serious case ya kidonda kilichotokana na kukeketwa....there the name originated!SIJIFICHI....ukimuliza Tundu Lisu atakwambia...kwa msaada wa Dk.MBOWE(Mke wa Freeman) 2005j Lisu alitutetea kisheria baada ya kuwa tumefanya mgomo wa kufa mtu na madrs tukashinda.'jina langu ndo hil4
 
If so then sorry, my bad..
 
Ulimboka kapewa hela, wamesuka uongo na polisi kuwahadaa watanzania. Kila mtu msaliti.
 
So what's "Ngaliba"?limekaa kiubabe kweli,nataka nijuwe maana yake if you don't mind.
 
So what's "Ngaliba"?limekaa kiubabe kweli,nataka nijuwe maana yake if you don't mind.

Halina ubabe Mangi wangu....lina ladha ya utatibu...japo ni ule wa asili..."Ngaliba" ni mwanamke mkeketaji..anakeketa na kutunza kidonda cha mkeketwaji mpaka anapona...ni nadra kwa mwanaume kuhudumia kidonda cha kukeketa kwa ustadi ule wa mwanamke Ngaliba...I once did as Ngalibas always do...thats where the so name originated!mengine yabaki kapuni mana ni kinyume cha "medical ethics and oaths"
 
Ulimboka kapewa hela, wamesuka uongo na polisi kuwahadaa watanzania. Kila mtu msaliti.

hizi ndio huwa conclusion za watanzania walio wengi (>70%), Ulimboka itakubidi ugharamike kuyafuta mawazo ya namna hii na jua watz wanapenda kuamini wanayoyataka wao
 
Huyu Dr. Ameshaniboa kabisa, anyamaze kabisa tujue moja au anapandisha dau la kuhongwa? Kaondoka anazungumza kwa shida lakini anafikisha ujumbe, leo kapona anasema anataka kukaa na familia, kweni lini press conference inafanyika 24/7, shut up bro
 
Kuna Majina ambayo kila nikiyasikia nawashwa masikioni!
suleiman Kova
Saed Mwema
Robert Manumba
Edward Hoseah
Jakaya Kikwete.
 
Hapa kuna pointi,inawezekana alitaka rushwa?Ama alitaka aambiwe nini na huyo mtu wa ikulu usiku usiku amabalo lina manufaa na mgomo na si manufaa yake binafsi?good question.

Hakuna maskini anaeingia kwenye siasa ili awatetee wanyonge kabla ya kutetea maslahi (tumbo) lake kwanza. Khulka ya Watanzania hata anapokwenda kusomea somo fulani, kwa jinsi bado tulivyo nyuma ki maisha, huwa kwanza unafikiria usomeee nini kinacholipa zaidi. Hatujafikia stage ya kusema nasomea "udaktari" ili nibadilishe maisha ya watu kwa taaluma yangu. Simply kwa sababu ni masikini tuliofunguliwa minyororo na kuonjeshwa raha za kuwa nacho.

Vizazi vitano baadae, tutapokuwa na warithi wa mali wasizozijuwa chanzo chake tutaanza kuwa na wimbi la vijana wataojituma kwa faida ya wengi kwa kuwa tu, wanazo, hawana jipya katika anasa linalowastuwa au wanalolitamani amabalo hawajalikuta ayari, hapo ndipo tutapata vijana wanaoinhia kwenye fani yoyote waipendayo kwa kuweka "impact" na "legacy" zao kwa kutenda mema mengi kwa ajili ya wengi.

Mifano hai, ni waliozaliwa na kuuukuta utajiri wa vizazi japo viwili au vitatu nyuma, ni tofauti na wale wanaozaliwa na kuukuta utajiri unaotengenezwa na wazazi wao na huku wanaujuwa vyanzo vyake.

Si Ulimboka, si vitajiri uchwara vingine vyovyote vyenye kisomo kilichotokana kwenye umaskini wawe na muono wa kutumikia wengi kabla hawajafikiria kutumikia matumbo yao kwanza na kuonesha wanawazunguka kuwa wao wamefanikiwa.

Tofauti na mtu kama Sabodo, aliyezaliwa na kukuta tayari mali kede kede kwao na yeye hakuwa na shida lakini kila alilolifanya kama yeye nalo likawa linamzalishia mali kwa wingi zaidi na anaendelea kuzalisha akiba alizozirithi za vizazi vitatu au vinne nyuma, mtu kama huyu huwa anataka kuweka legacy kwa kunifaisha wengi kwa mali zake na si kunufaisha tumbo lake.

Ulimboka bado ni kichumia tumbo tu na Watanzania wengi bado tunamuona bora na alieweza maisha yule mwenye nacho.
 
Wewe mwenyewe unajipendekeza ccm ili uchumie Hilo tumbo lako kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom