Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

Hii picha ni ya kihindi sasa walikua kwenye"songi" sasa they r back in action. Stelingi kashatoka sauzi kubwa la maadui linaanza kumsaka....
Hizi kuchi kuchi hotae zitaisha lini?

TGIF
 
PHP:
“Tutazungumza na wananchi na wanahabari kwa ujumla kuhusu mambo mengine yanayohusu usalama wa nchi pamoja na hatua tulizofikia katika uchunguzi wa kitendo cha kutekwa na kupigwa kwa Dk Ulimboka,” alisema Kova.
The last time I checked, Kova lamented that Ulimboka saga liko kwa court.
 
Kwanini wanataka kuzungumzia kesi iliyopo mahakamani? Tuseme polisi wananguvu kuliko Bunge?. mia
 
Mimi nakerwa sana na waandishi wa habari,huwa hawajui kuhoji maswali,kwenye press conference mnatakiwa muulize maswali magumu kwa kova sio kukimbilia kuandika kila kitu anachosema kova
 
Na siku akiongea point ya ukweli atazimia au kupata mtikisiko wa ubongo.
Mkuu ule ugonjwa uliomuuwa Kanumba? that why siku ile alimuaga kwa saluti ya kijeshi wakati ni raia, so you meant siku akiongea point anakanumba? lol.
 
Hebu tukumbushane hii ni season ya ngapi vile? Hii series ni ya ajabu kweli yaani sielewi steringi ni nani na adui ni nani
 
kwanza hao waandishi wa habari(ningekuwa mimi)nisingeenda kwny hyo press conference!huu ni u*mbavu ambao kwny nchi nyingine huwezi kuuona ila tz
 
Mkuu ule ugonjwa uliomuuwa Kanumba? that why siku ile alimuaga kwa saluti ya kijeshi wakati ni raia, so you meant siku akiongea point anakanumba? lol.

Hakika mkuu, tena umenichekesha na kunikumbusha jinsi alivyompigia marehemu raia saluti. Huwa akiongea naona kituko fulani halafu kama ni uongo utaona tu jinsi analazimisha coordination ya macho. Hata yeye anajuwa siku ikitokea akiongea point ni lazima jambo la ajabu limtokee.
 
kesi iko mahakamani,wakizungumza wao sawa,waikisema wengine wanavunja sheria.
 
Hakika mkuu, tena umenichekesha na kunikumbusha jinsi alivyompigia marehemu raia saluti. Huwa akiongea naona kituko fulani halafu kama ni uongo utaona tu jinsi analazimisha coordination ya macho. Hata yeye anajuwa siku ikitokea akiongea point ni lazima jambo la ajabu limtokee.
MACHO NAONA KAMA HUWA HAYANA USHIRIKIANO AMA?

Kova1(1)%5B1%5D.jpg
 
Atasema PAPAA MSOFE anahusika,ili kumchafua AHMED MSANGI maana ndiye mwenye file lake!massawe kahonga 1bn ikashindikana
 
Samahani kwa kumix mambo. Hivi yule Msemakweli wa ushahidi wa Kagoda nk yuko wapi siku hizi?
kweli yule angesaidia sana.
Mh ila hii nchi. yaani alaf serikali/polisi na takukuru waaaala hawakufanya chochote.
huu ni ushahidi mkubwa sana kua ule ushahidi wa msema kweli ulikua wa kweli.
 
Huenda Dk ulimboka akatoa mambo.ila kimya chake ndicho kinachinifanya nikose cha kuzungumza.lakini ngoja tusubiri.
 
Ulimboka keshapata fungu lake tayari tutabwabwaja wee yeye yuko kimya anakula bata tu,siku ulimboka akiwataja hadharani "nahama nchi" waliosoma upepo mapema jamaa baada ya kurudi wakanyamaza sababu walijua jamaa kesha kuwa kigeugeu baada ya kupozwa kwa kitu,Kova naye namshangaa kesi tushazoea kuambiwa iko mahakamani hatuwezi kuiongelea hii ya ulimboka yenyewe kumbe hainashinda hata kama inasikilizwa inaongelewa tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom