Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

zomba .... umaskini na njaa ndiyo unaokufanya uandike post za kipuuzi huku jf

AlhamduliLlahi mimi ni mlala hai, si mlala heri wala mlala hoi, sio wa kukisia, nimerithi mali ya generation's kama 6 nyuma, mpaka sasa Nashkuru njaa na umaskini wa kuajiriwa sina.
 
Sasa jiulize wale wanaokopa kwenye chama na kuwajengea majumba mahawara zao (Source TUNTEMEKE) na misukule wengine bado wanachanga shillingi mia mia zao!
Afadhali hao waliokopa kuliko hao walioibia wananchi hela matrilioni wakaweka kwenye accounts zao huko uswisi
 
Watu wengine wanaotuangusha ni waandishi wa habari wanaoalikwa,unakuta hawaulizi maswali mazito,,mtu(Kova) anatoa controversial statement badala ya kumhoji maswali for verification wanakurupuka kuandikia magazeti yao,,huwa nashangaaa sana

...Tanzania kuna WAANDISHI WA HABARI????
 
OSOKONI
"Heri nusu shari kuliko................"
Hakuna muujiza wowote uliofanywa wa kumuacha hai Dr Ulimboka,zaidi ya Mungu.Hakuna namna yoyote ile ambayo ilimfanya Dr.abaki hai hadi asubuhi ilie kwa mateso yote yale,pamoja na bleeding yote ile.Mungu alipenda huyu jamaa awe hai ili atufunulie yale yaliyo nyuma ya pazia.Kwa malengo hayo dr. aliwageuka watanzania Mungu hatamsamehe kwa hilo kwani anampango nae.Na hata dr akiwasaliti watz bado Mungu atatupatia mtu mwingine,ijapokua najua dr. hatakua salama tena kwani hao watesi wake wakimaliza kujiosha, kuna siku watamrudi tu,ili kujihakikishia usalama wao,kwani wanajua kuna siku anaweza kuwageuka vilevile.
Anahitaji kuwa na moyo wa chuma.Ijapokua kwa upande wangu ,dr. alishaaeleza yake siku ile alipokua "mautiuti"kwani pale ndio ukweli ulipojifunua,akija kuongea leo habari yake itakua imekua edited ,kidogo na haitakua sahihi sana kama ile ya siku ya kwanza.Kwa upande wangu taarifa ya kwanza ilikua sahihi ndio maana unamuona Kova alivyokua akitapatapa kama kuku wa mdondo,Mpaka leo bado anahangaika kuweka mambo sawa kwani,kila akiedit ,anaona taarifa bado haikai vizuri.
Mwanahalisi ndio alimalizia kabisa.Kwa watu walio Telecom wataona kabisa ule mtiririko wa Mwanahalisi namna alivyofuatilia zile taarifa kwenye systems unaonyesha waziwazi wahusika.Sihitaji kabisa kusikiliza hata hizo pelepete za Kova.Wenye muda wa kuchezea waende kumsikiliza.Napia hao wanaoenda kumsikiliza nna Imani ni wale wanaofuata zile bahasha za kaki.
 
Last edited by a moderator:
Unataka Dr Ulimboka asemenini ambacho hujakisikia?,
kama waliohusika alisha ongea na maongezi/mahojiano yake kabla hata hajaenda nje ya nchi yapo kwenye U-tube,kama U-tube huiwezi labda credit ndoooo...salio halisomi.!,na Gazeti la MWANAhalisi hukusoma?, Lilimwaga kilakitu,
* Wakuu wako na chama chao wakashindwa kujibu tuhuma na badala yake wakatumia UBABE kulifungia gazeti badala ya kujibu hoja.
* * * * * * * * *1/Sasa wewe unataka Dr Ulimboka a ongee ili wewe ufanye nini?
* * * * * * * * *2/Alivyo ongea hapo awali ulifanya nini?
* * * * * * * * *3/Gazeti la mwanahalisi lili utangazia umma wa jamuhuri ya muungano ya TANZANIA na Dunia yote * * * * * * * * * * * * * * * * * kwa ujumla pamoja na wewe ila bado hujaelewa leo hii akiongea kuna chochote wewe binafsi utachangia?
Ushauri wa bure kwako: kama huja amini kuwa yanayo semwa na kova ni sinema na mazingaombwe basi kamtafute Nnauye ukupe POROJO.
 
OSOKONI
"Heri nusu shari kuliko................"
Hakuna muujiza wowote uliofanywa wa kumuacha hai Dr Ulimboka,zaidi ya Mungu.Hakuna namna yoyote ile ambayo ilimfanya Dr.abaki hai hadi asubuhi ilie kwa mateso yote yale,pamoja na bleeding yote ile.Mungu alipenda huyu jamaa awe hai ili atufunulie yale yaliyo nyuma ya pazia.Kwa malengo hayo dr. aliwageuka watanzania Mungu hatamsamehe kwa hilo kwani anampango nae.Na hata dr akiwasaliti watz bado Mungu atatupatia mtu mwingine,ijapokua najua dr. hatakua salama tena kwani hao watesi wake wakimaliza kujiosha, kuna siku watamrudi tu,ili kujihakikishia usalama wao,kwani wanajua kuna siku anaweza kuwageuka vilevile.
Anahitaji kuwa na moyo wa chuma.Ijapokua kwa upande wangu ,dr. alishaaeleza yake siku ile alipokua "mautiuti"kwani pale ndio ukweli ulipojifunua,akija kuongea leo habari yake itakua imekua edited ,kidogo na haitakua sahihi sana kama ile ya siku ya kwanza.Kwa upande wangu taarifa ya kwanza ilikua sahihi ndio maana unamuona Kova alivyokua akitapatapa kama kuku wa mdondo,Mpaka leo bado anahangaika kuweka mambo sawa kwani,kila akiedit ,anaona taarifa bado haikai vizuri.
Mwanahalisi ndio alimalizia kabisa.Kwa watu walio Telecom wataona kabisa ule mtiririko wa Mwanahalisi namna alivyofuatilia zile taarifa kwenye systems unaonyesha waziwazi wahusika.Sihitaji kabisa kusikiliza hata hizo pelepete za Kova.Wenye muda wa kuchezea waende kumsikiliza.Napia hao wanaoenda kumsikiliza nna Imani ni wale wanaofuata zile bahasha za kaki.
Mh bora uende milembe waka kuhakiki kwenye dafttari lao kwa hizo sentesi zako hapo juu.....mmh,huna tofauti na hao watu wa bahasha wahi milembe kabla hawajafunga.*
 
Back
Top Bottom