Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,893
Reaction score
36,391
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
 
Hapana siyo kweli, Wanapenda sana
 
Je kwenda mahakamani ni kosa la jinai na nambie walopigwa jana waliandamana muda gani?
Mlitakiwa mfike wengi ili polisi wakiwaona warudi nyuma wawambie waliowatuma kuwa hawa watu wametushinda ni wengi mno
Sasa mkienda watu 50 watasingizia vip kuwa hawawezi
 
Back
Top Bottom