Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Binafsi kwasasa hata kama polisi atajikwaa akaanguka akafa mimi nitapashukru pale alipo jikwaaMsiongee tu hilo suala halijafafanuliwa kwamba kapigwa kwa kisasi au ni majambazi mie huwa siwezi kucomment kitu nisichokifahamu unaweza kuamka kesho ukakuta ni ishu tofauti embu subirini kamanda wa polisi au sehemu husika walielezee tukio hilo limetokeaje!!!sio vizuri kuanza tu kusifia wakati hujui cause ya tatizo ni nini si ajabu huyo askari hakuwa na kosa kabisa!yawezekana ameonewa!tusubiri taarifa za magazetini na redioni ila mtoa taarifa tunakushukutu sana kwa informations!