Polisi apigwa risasi na kufa

Safi sana,Taarifa za kiinteligensia ilikuwa kisingizio tu wangekuwa wanazifanya matukio ya ujambazi yangepungua sana kama siyo kuisha.Hongera wana Arusha
 
ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.
Najua mkuu polisi walifanya mabaya mengi saana arusha ikiwa pamoja na kuchakachua tukio zima but kifo mkuu kinasikitisha saana!
 
Kuna mtu ameleta hija ya kuwa dawa ya polisi wakiwaua wenye kuandamana basi na watu wakawaue ndugu zao mitaani! Nadhani hii haijakaa sawa maana polisi anaweza akawa anashabikia chama tawala lakini ndugu zake ni cdm kindakindaki!

Na hivi wewe kama una jamaa yako polisi upotayari ufanyie kitu sawa kama huyo hayawani anaeleta hoja! Nadhani hatujafikia huko na Mungu aepushe tusijekufikia huko Amin.
kwani mauaji haya yana uhusiano wa ccm na chadema?
 
watu wengine wa ajabu kweli

Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .

Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.
 
Kuna mtu ameleta hija ya kuwa dawa ya polisi wakiwaua wenye kuandamana basi na watu wakawaue ndugu zao mitaani! Nadhani hii haijakaa sawa maana polisi anaweza akawa anashabikia chama tawala lakini ndugu zake ni cdm kindakindaki!

Na hivi wewe kama una jamaa yako polisi upotayari ufanyie kitu sawa kama huyo hayawani anaeleta hoja! Nadhani hatujafikia huko na Mungu aepushe tusijekufikia huko Amin.
halafu nashangaa hatujafika huku bado,sijui kwa nini wanalazimisha.
 
Najua mkuu polisi walifanya mabaya mengi saana arusha ikiwa pamoja na kuchakachua tukio zima but kifo mkuu kinasikitisha saana!
Mkuu sijui kama unaweza kunishawishi kuona polisi amekufa niwe na huzuni hasa ninapoiangalia picha hii
 
Attachments

  • cdm_denis.jpg
    cdm_denis.jpg
    223.1 KB · Views: 57
Msiongee tu hilo suala halijafafanuliwa kwamba kapigwa kwa kisasi au ni majambazi mie huwa siwezi kucomment kitu nisichokifahamu unaweza kuamka kesho ukakuta ni ishu tofauti embu subirini kamanda wa polisi au sehemu husika walielezee tukio hilo limetokeaje!!!sio vizuri kuanza tu kusifia wakati hujui cause ya tatizo ni nini si ajabu huyo askari hakuwa na kosa kabisa!yawezekana ameonewa!tusubiri taarifa za magazetini na redioni ila mtoa taarifa tunakushukutu sana kwa informations!

Wacha porojo wewe. Snippers wameshajipanga hapa kazi ndo kwanza imeanza kwa interval utakayoiona na kuisikia. Hakuna cha ujambazi hapa ni kwamba mauaji ya raia Arusha mpaka sasa watu wengi wana maumivu na polisi kuna uwezekano wakahama Arusha kwa jinsi hali itakavyowawia ngumu. Watawindwa kama Swala hadi wawe na adabu kwani wote walihusika kuua kama si kupiga ni kuelekeza na kupanga
 
watu wengine wa ajabu kweli

Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .

Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.
Naomba unielewe mkuu, yaani mimi sijali polisi kapigwa au kafa kwa goma kwangu mimi poa tu imradi polisi kafa
 
Back
Top Bottom