Polisi apigwa risasi na kufa

Msiongee tu hilo suala halijafafanuliwa kwamba kapigwa kwa kisasi au ni majambazi mie huwa siwezi kucomment kitu nisichokifahamu unaweza kuamka kesho ukakuta ni ishu tofauti embu subirini kamanda wa polisi au sehemu husika walielezee tukio hilo limetokeaje!!!sio vizuri kuanza tu kusifia wakati hujui cause ya tatizo ni nini si ajabu huyo askari hakuwa na kosa kabisa!yawezekana ameonewa!tusubiri taarifa za magazetini na redioni ila mtoa taarifa tunakushukutu sana kwa informations!
Binafsi kwasasa hata kama polisi atajikwaa akaanguka akafa mimi nitapashukru pale alipo jikwaa
 
atakuwa amemuwawa kwa taarifa za kiitelinjinsia zilizopatikana punde kabla ya mauti kumkuta
 
siamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu
walivyo ua ndungu zetu na hawakutaka hata kutuomba msamaha sana sana walipongezana na kuanza kupotosha jamii wakati wahusia hata hawakuwa kwenye maandamano ...ulitaka ni walilie baada ya wao kupigwa risasi
 
Wana JF polisi mmoja akiwa katika uniform amepigwa risasi hadi kufa maeneo ya Arusha chini ya mti karibu na stand ya magari ya kwenda Kisongo, Kwamrombo.
Ilikuja gari aina ya RA4 ikiwa imewasha taa kisha baadhi ya magari yakapisha wakijua labda ilikuwa na dharura, lakini walipofika alipokuwa askari huyo alipokaa basi alishuka jamaa mmoja na kumpiga risasi kwa bastola kisha kuingia ndani ya gari na kutokomea kusikojulikana.
Hadi napost thread hakuna habari za kukamatwa kwa jamaa hao ambao haikujulikana walikuwa majambazi au walikuwa na visasi nae marehemu.
Hala hala, kidole na macho jamani, naomba suala hili lisihusianishwe na siasa za arusha.
 
sijui man kwasababu mie naona kuwalaumu polisi wote si vyema wapo wachache ndio ambao wanakosa maadili man!!sema kwasababu watu bado mna hasira na mauaji ya Arusha ndio maana mnasema hivyo ila kwakweli amani ya Tanzania inapotezwa na jeshi la polisi sababu hawaheshimu haki za raia kweli inatia uchungu sana wamekua wababe sana kwa raia na ndio maana watu wanafurahi kweli kuna haja kubwa kwa serikali kulitazama hilo wasichukulie simple kuna siku tyatahamia kwa viongozi!
 
Nadhani tusifurahie. Huwezi jua msimamo wa askari huyu kama mtu binafsi katika yale mauaji ya waandamanaji. Askari wengine walikuwa very against...
 
sijui man kwasababu mie naona kuwalaumu polisi wote si vyema wapo wachache ndio ambao wanakosa maadili man!!sema kwasababu watu bado mna hasira na mauaji ya Arusha ndio maana mnasema hivyo ila kwakweli amani ya Tanzania inapotezwa na jeshi la polisi sababu hawaheshimu haki za raia kweli inatia uchungu sana wamekua wababe sana kwa raia na ndio maana watu wanafurahi kweli kuna haja kubwa kwa serikali kulitazama hilo wasichukulie simple kuna siku tyatahamia kwa viongozi!
samaki mmoja akioza wote wameoza,mbona huwa wanasomba watu hata kama huusiki
 
There is no justification of killing. I don't care who kills who, lakini tuache upuuzi wa kushabikia mambo. Hatuwezi kushangilia mauaji period.
 
When a system in equilibrium is subjected to a change,the system will also try to change so as to halt the effect of that changes until stability is re-attained.Tazama Iraq,Afghanistan etc
 
Back
Top Bottom