Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP,Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao!, WaTZ Tuuchangamkie

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,102
Reaction score
128,717
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania.
Bomba la Mafuta Eacop.jpg

View: https://www.youtube.com/live/QOzG4JXqWWc?si=kbxKDkZTV2ZZBTNL

Karibuni.
Paskali
 
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania.
View attachment 3385369

Karibuni.
Paskali
Wakati linajengwa bomba la mafuta toka Dar kwenda Zambia tuliambiwa tutapata fursa za biashara tukidhani tutaweza kuingia ndani ya bomba na kufanya biashara! Tuliishia kuwauzia chakula wajenzi kwa siku mbilitatu wanapopita kijijini petu, bomba lipo linapitisha mafuta ila fursa hazipo, zilikwenda na bomba.
Ombi langu kwako, utujulishe fursa tutakazo endelea kuzifanya kijijini kwetu juu ya hilo bomba baada ya kukamilika.
 
Baada ya bomba kukamilika, the locals wataendelea kupewa ajira za kudumu kwenye uendeshaji, mradi unaajiri watu 6,000, locals wa vijiji vyote bomba linakopita, wataendelea kula tenda za ulinzi wa bomba, maisha yao yote!.
P
 
mradi unaajiri watu 6,000, locals wa vijiji vyote bomba linakopita, wataendelea kula tenda za ulinzi wa bomba, maisha yao yote!.

Mmh! Ulnzii?? Mshahara 150k kwa mwezi. Hapo mtu kang'atwa na mbu, kapigwa na baridi, kakoswa koswa na nyoka na kaugua mpk unyafuzi.

Hizi siyo fursa za kujadiliwa kwenye hoteli ya kifahari. Watangaieni tu wanakijji kwa kupiga "la mgombo".
 
Back
Top Bottom