BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Una UFINYU wa akili wewe! Huyu hapa ni mmoja wa waliobambikiwa kesi FAKE kwa si raia lakini baada ya kuanikwa hadharani serikali dhalimu ikakaa kimya bila kutia neno kuhusu uraia wake na watu kama huyu wako wengi na kosa lao ni kuikosoa Serikali hadharani. Tia akili kichwani.
Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia Hata Zitto mlitaka kumbambikia kesi. Maajabu: UVCCM Kigoma waomba kibali kuandamana kuishinikiza Uhamiaji kuchunguza uraia wa Ndugu Zitto Kabwe - Mbunge

Duuh we jamaa mgumu Sana kuelewa,
Details hizo unazotaka nikupe hapa ,Makakala anazo kamcheki pale uhamiaji.
Nimekupa majibu ya jumla ila naona unataka nije na idadi ya kesi na matokeo yake. Hizo wanazo uhamiaji mkuu.