Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
103,024
2,000
Una UFINYU wa akili wewe! Huyu hapa ni mmoja wa waliobambikiwa kesi FAKE kwa si raia lakini baada ya kuanikwa hadharani serikali dhalimu ikakaa kimya bila kutia neno kuhusu uraia wake na watu kama huyu wako wengi na kosa lao ni kuikosoa Serikali hadharani. Tia akili kichwani.

Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia Hata Zitto mlitaka kumbambikia kesi. Maajabu: UVCCM Kigoma waomba kibali kuandamana kuishinikiza Uhamiaji kuchunguza uraia wa Ndugu Zitto Kabwe - Mbunge

Duuh we jamaa mgumu Sana kuelewa,

Details hizo unazotaka nikupe hapa ,Makakala anazo kamcheki pale uhamiaji.

Nimekupa majibu ya jumla ila naona unataka nije na idadi ya kesi na matokeo yake. Hizo wanazo uhamiaji mkuu.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,041
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Anza kukamata passport ya babu/bibi yake Polepole. Kisha passports za mama/baba yake, na baadaye yake mwenyewe
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,192
2,000
Una UFINYU wa akili wewe! Huyu hapa ni mmoja wa waliobambikiwa kesi FAKE kwa si raia lakini baada ya kuanikwa hadharani serikali dhalimu ikakaa kimya bila kutia neno kuhusu uraia wake na watu kama huyu wako wengi na kosa lao ni kuikosoa Serikali hadharani. Tia akili kichwani.

Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia Hata Zitto mlitaka kumbambikia kesi. Maajabu: UVCCM Kigoma waomba kibali kuandamana kuishinikiza Uhamiaji kuchunguza uraia wa Ndugu Zitto Kabwe - Mbunge
Lisu hachomki kwa hili ,

Uhamiaji waongeze umakini katika kulifuatilia.
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,467
2,000
Mbona unaonyesha woga sana mkuu,

Acha watu wafanye kazi yao.

Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.

Ikibainika habari take inaishia hapo.

Anarudi kwao Belgium.
Acha uongo
Uraia wa nchi hauuzwi kama nyanya
Tukusaidie kidogo ..... iko hivi tuko na Ubalozi wa Belgium si uende ukatoe malalamiko yako
Tz haina Dual Citizenship ingekuwa hivyo Ubalozi wa Belgium ungetoa tamko
Mmeishiwa ya kumsingizia mmeshindwa kumtoa uhai mmekuja na hili
Rudi shule ukajifunze zaidi
Exposure ni muhimu
Jaribu kuficha Upumbavu wako
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,467
2,000
Nimeuliza kuhusu waliofunguliwa kesi kwamba si raia hakuna hata mmoja ambaye amefukuzwa Nchini wala Serikali kutamka hadharani kwamba wamegunduliwa kwamba si raia na hivyo kufukuzwa Nchini au kuambiwa wafuate taratibu za uhamiaji. Je, ni wangapi waliobambikiwa kesi FAKE za kutokuwa raia wamefukuzwa Nchini?

Itakuwa hujaelewa majibu yangu,
Mpotezee huyu asikuchukulie muda wako
Wameishiwa
Watayamba tu mwaka huu
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,671
2,000
Tuanze na yeye huyo uraia wake bila ya shaka una walakini.

Swala hapa ni kuwa Lisu kadanganya Uraia wake ama La.

Uhamiaji watatupa majibu, hilo hutaamua wewe au Chadema fanatics bali ni Uhamiaji.

Ikifahamka kadanganya anakatwa tu as simple as that.
Lissu ana travel document..mbona Mbowe alisema wakati wanamsafirisha kwenda Belgium..hiyo haimuondolei sifa ya kuwa Mtanzania maana utaifa wake umeandikwa..angekuwa na Belgium passpprt kweli hata NEC wasingempa fomu..
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
35,379
2,000
Lissu ana travel document..mbona Mbowe alisema wakati wanamsafirisha kwenda Belgium..hiyo haimuondolei sifa ya kuwa Mtanzania maana utaifa wake umeandikwa..angekuwa na Belgium passpprt kweli hata NEC wasingempa fomu..
Mbowe ni mnyasa!
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,922
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
CCM inaongozwa na Wahutu kuanzia mkiti, katibu na mwenezi wao.

Humphrey Hezron Polepole KINYANGIDZI ( Kinyangidzi ni jina la Kihutu)

Bashiru Ally KAKURWA (Kakurwa ni jina lenye asili ya Burundi)
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,202
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Pole pole kwa sasa anapingana na kila alichokuwa akisimamia wakati wa katiba...
Kweli madaraka ni kitu hatari sana.
Na usimuamini mwanasiasa yoyote, wakati akipiga kelele ujue ana njaa akipewa ulaji akashiba atakana hata wazazi wake.
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,139
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Si ajabu mwendawazimu kuongea. Ajabu kubwa ni pale kauli ya mwendawazimu inapofanyiwa kazi na wenye akili!

Hao wasio watanzania wameingia nchini mwetu miezi hii ya kampeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
2,013
2,000
Mbona unaonyesha woga sana mkuu,

Acha watu wafanye kazi yao.

Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.

Ikibainika habari take inaishia hapo.

Anarudi kwao Belgium.
Kweli ccm mmepatikana safari hii, mmebaki kusubiri technicalities za kipuuzi mmeona boksi la kura linaenda kuwagaragaza

Tulieni msitikise kalio sindano iingie kwenye mshipa, isije ikakatikia humohumo.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom