Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
11,176
2,000
Isijekuwa tu Lisu alichukua Uraia wa Ubelgiji,

Kama kadanganya tume !!!
Na Ndugai ni raia wa India? Maana na yeye alikaa Apollo Zaidi ya miezi 3 kwa gharama ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya.!
Lissu risasi mmempiga nyie, kaenda nje ya nchi kwa matibabu tena kwa hela za wenye HERI, wala hakuwa na mpango hata wa kwenda Zambia kabla hajapigwa risasi, mtu kaenda kutibiwa mmemgeuza uràia.
Mwamzoni nilikuwa namsema vibaya Polepole kwa maneno yake mabovu yasiyo na mantiki, lakini kwa jinsi anavyoungwa mkono na CCM wenzake anapoongea utumbo kama huu, naanza kuamini Polepole anawakilisha akili za wanaCCM wote ndivyo zilivyo.
 

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
24,540
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja huko CCM kuna wahutu wengi sana na ndiyo wametuharibia nchi yetu
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
843
1,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Hili swala hua nashangaa Sana ,ila kiukweli watz wote Kama Kama tukifuatilia Koo zetu 20 kutoka nyuma ndio tuko tz na tumezaliwa hapa lakini mababu zetu na mabibi zetu watoka mbali Sana ndo maana zipo lugha hapa tz zinafanana na lugha zingine nje tz au sehem tofauti ndani ya tz,
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
11,327
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Majina ya wakimbizi haramu hii hapa,dotto biteko toka rwanda,dk mipango mrundi,meko nae mrundi yani ccm 20% ya viongozi wake wahamiaji haramu
 

JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,223
2,000
Naona lile la ushoga limebuma,sasa mnatunga la uraia.Lissu ni mpango maalumu wa Mungu na mipango ya Mungu huwa inashinda tu.
 

mhanila1

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
854
1,000
Swala hapa ni kuwa Lisu kadanganya Uraia wake ama La.

Uhamiaji watatupa majibu, hilo hutaamua wewe au Chadema fanatics bali ni Uhamiaji.

Ikifahamka kadanganya anakatwa tu as simple as that.

Na huyo aliyemaliza mitano hivi aliwahi kuomba uraia maana kuna taarifa alikuja nchini akiwa na miaka 3 au yeye hakuna haja ya kujuwa uraia wake sababu yuko chama cha mbogamboga. Ila mara zote serikali ikipigwa za uso huwa inakimbilia kwenye uraia. Hivyo tunajuwa hali ya mpambano ikoje hadi sasa
 

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
1,428
2,000
ye mwenyewe mbona anaonekana ni ukoo wa huyu jamaa?
 

Attachments

  • nixau_2_20171115_114300.jpg
    File size
    37.3 KB
    Views
    0

Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,433
2,000
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Waanze na yeye mwenyewe. Hawa watu wenye surname ya majina ya kutunga kama yake huwezi waamini. Eti Polepole. Polepole ni Jina la ukoo gani, au kabla gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom