Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Waanze na yeye mwenyewe kuwa Raia wa Burundi, Bashiru kuwa Raia wa Rwanda na Bosi wao...
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
 
Acha uzushi wewe! Uraia hautolewi kama njugu na Lissu anazijua sheria za Nchi yetu ndani nje kuweza kufanya upuuzi kama huo.
Hayo ni majibu yako ya kinazi

Ngoja tusikie wenye hilo jukumu wanasemaje.
 
Uzoefu kazini ni muhimu sana japo tunadharau

Jaribio lolote la kumdhalilisha Sheikh wetu Sheikh Ponda Issa Ponda kwa tuhuma za kubumba ni kujeruhi Chama chetu

Akina Pole pole wameshindwa maeneo mengi ya ki strategy matokeo yake tunayaona wote

Kuuliza au kutumia weledi wa waliokutangulia sio udhaifu, kumuacha Januari anacheza pool table beach kule kidimbwi dakika hizi za majeruhi ni matumizi mabaya ya resource za chama

Kutafuta choko choko na kina Sheikh Ponda nyakati hizi ni ushahidi wa nakisi ya uzoefu wa Siasa

Znz huko chombo kinapigwa dhoruba baharini, badala ya kuita mabaharia wakongwe kutuvusha wanakomaa na notes za darasani over confidence ya kibwege
Hahaha huyo polepole akili hana tena ni zwazwa mkubwa ...shekhe ponda anawafuasi wengi sana toka katika madhehebu ya watu wa mfanano na yeye kiimani ..wakisema kwamba wamkamate katika kipindi hiki ..itakuwa ni sawa na kuwaambia hao waislam wasimpigie kura magufuli na chama chake
 
Kwa vile wewe ni mnazi wa kumkumbatia huyo anayejiita MWENDAWAZIMU basi unadhani ni kila mtu. Acha kuandika UZUSHI!
Mbona unaonyesha woga sana mkuu,

Acha watu wafanye kazi yao.

Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.

Ikibainika habari take inaishia hapo.

Anarudi kwao Belgium.
 
Acha kuandika ujinga. Kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya.
Swala hapa ni kuwa Lisu kadanganya Uraia wake ama La.

Uhamiaji watatupa majibu, hilo hutaamua wewe au Chadema fanatics bali ni Uhamiaji.

Ikifahamka kadanganya anakatwa tu as simple as that.
 
Kwani wangapi mliowahi kuwambambikia kesi kwamba si raia kwa sababu tu wameikosoa Serikali na hakuna hata mmoja aliyefukuzwa Nchini? Tia akili kichwani wewe acha KUKURUPUKA na uzushi wenu.

Kweli CCM ni ile ile! Yaani mbinu walizotumia babu yao Mkapa kwa Jenerali Ulimwengu enzi hizo bado wanatumia hadi Leo hii!
 
Kwani wangapi mliowahi kuwambambikia kesi kwamba si raia kwa sababu tu wameikosoa Serikali na hakuna hata mmoja aliyefukuzwa Nchini? Tia akili kichwani wewe acha KUKURUPUKA na uzushi wenu.
Kuwa mvumilivu utapata majibu yote muda ukifika, tusianze kujadili jambo kabla hatujafika hapo kwanza.
 
Jibu swali acha kurukaruka! Katika wote mliowabambikia kesi FAKE za kutokuwa raia kupitia uhamiaji wangapi wamefukuzwa Nchini?

Mbona wapo wanaoambiwa wafuate taratibu za Uhamiaji mkuu, au kukaa huko nje kunakufanya upitwe na mengi ya hapa nyumbani.
 
Hivi kwanini unapata shida kulielewa swali langu? Sikuuliza kuhusu kufuata au kutofuata taratibu za uhamiaji. Soma tena swali langu halafu ulijibu kama limekuzidi kimo sema hivyo. Aliyekudanganya mimi naishi nje ni nani?

Itakuwa hujaelewa majibu yangu,

Kufuata taratibu za uhamiaji maana yake ni kwa mhusika kuhakikisha ama anapata permit au anaomba Uraia.

Sasa wapo walioomba na uraia wao ni wa aina hiyo.
 
Nimeuliza kuhusu waliofunguliwa kesi kwamba si raia hakuna hata mmoja ambaye amefukuzwa Nchini wala Serikali kutamka hadharani kwamba wamegunduliwa kwamba si raia na hivyo kufukuzwa Nchini au kuambiwa wafuate taratibu za uhamiaji. Je, ni wangapi waliobambikiwa kesi FAKE za kutokuwa raia wamefukuzwa Nchini?

Duuh we jamaa mgumu Sana kuelewa,

Details hizo unazotaka nikupe hapa ,Makakala anazo kamcheki pale uhamiaji.

Nimekupa majibu ya jumla ila naona unataka nije na idadi ya kesi na matokeo yake. Hizo wanazo uhamiaji mkuu.
 
Hahaha kwani ni mara ya kwanza wageni kuishi nchini au yeye ndiye siyo mwenzetu?!

Afunge balozi zote na afukuze wageni wote ndani ya masaa 48, hata Idd Amin alifanya hivyo na akaondoa wageni aliokuwa hawataki.
 
Uzoefu kazini ni muhimu sana japo tunadharau

Jaribio lolote la kumdhalilisha Sheikh wetu Sheikh Ponda Issa Ponda kwa tuhuma za kubumba ni kujeruhi Chama chetu

Akina Pole pole wameshindwa maeneo mengi ya ki strategy matokeo yake tunayaona wote

Kuuliza au kutumia weledi wa waliokutangulia sio udhaifu, kumuacha Januari anacheza pool table beach kule kidimbwi dakika hizi za majeruhi ni matumizi mabaya ya resource za chama

Kutafuta choko choko na kina Sheikh Ponda nyakati hizi ni ushahidi wa nakisi ya uzoefu wa Siasa

Znz huko chombo kinapigwa dhoruba baharini, badala ya kuita mabaharia wakongwe kutuvusha wanakomaa na notes za darasani, hii ni over confidence ya kibwege
Pohamba bro ni wewee? Ndio maana siku Hizi kimya sana na ukicomment unachagua maneno. Siyo kusifisifia kila kitu kama zamani
 
Back
Top Bottom