Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Kuna mti ni kiongozi mkubwa Lakini aliingia nchini akiwa na umri wa miaka 3 wazazi wa nchi jirani, huyo naye anatakiwa kuchunguzwa na Uhamiaji?
 
Uzoefu kazini ni muhimu sana japo tunadharau

Jaribio lolote la kumdhalilisha Sheikh wetu Sheikh Ponda Issa Ponda kwa tuhuma za kubumba ni kujeruhi Chama chetu

Akina Pole pole wameshindwa maeneo mengi ya ki strategy matokeo yake tunayaona wote

Kuuliza au kutumia weledi wa waliokutangulia sio udhaifu, kumuacha Januari anacheza pool table beach kule kidimbwi dakika hizi za majeruhi ni matumizi mabaya ya resource za chama

Kutafuta choko choko na kina Sheikh Ponda nyakati hizi ni ushahidi wa nakisi ya uzoefu wa Siasa

Znz huko chombo kinapigwa dhoruba baharini, badala ya kuita mabaharia wakongwe kutuvusha wanakomaa na notes za darasani, hii ni over confidence ya kibwege
 
Back
Top Bottom