Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 527
- 1,065
Nina rafiki yangu ni mchina na anatumia namba ya China na yuko hapa hapa Tznamba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?
+13057764396
Hii ni namba ya wapi?
Nina rafiki yangu ni mchina na anatumia namba ya China na yuko hapa hapa Tznamba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?
+13057764396
Hii ni namba ya wapi?
so is it registered here?Nina rafiki yangu ni mchina na anatumia namba ya China na yuko hapa hapa Tz
Noma sanaHayupo Tanzania angekuwepo angeshakatwa korodani..😁😁🤣🤣
Kwahiyo ningeliota kujua kuwa hii ni whatsappUnafeli sana mwaisa! Whatsapp haina mipaka kama calls/msg za kawaida
Ushamba uko wapi hapoAcha ushamba
Hiyo namba ni ya Florida, pia ni kawaida namba ya nchi nyingine kupatikana kwa whatsapp hata ukiwa nje ya hiyo nchi.namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?
+13057764396
Hii ni namba ya wapi?
Mkuu hili jibu lako umekurupuka, inaonyesha hukufatilia. Aliweka hiyo namba akasema ni kwa WhatsApp tu.Kwahiyo ningeliota kujua kuwa hii ni whatsapp
mwenzenu lakini huyu PolepoleMuongo, hayuko Tanzania. Aache kudanganya watu
Namba ya simu +1 305 776 4396 inatumia code ya kimataifa +1, ambayo ni ya:namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?
+13057764396
Hii ni namba ya wapi?
Marekani na Kanada
Shida yote hii ya nini, mtu ulikuwa una diplomatic status, leo unajificha unaishi km nguchiro, shida zingine tunajitakia ndio maana Mwenyenzi Mungu amesema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, atagain nini zaidi ya alichokuwa anapata. Hii nchi imetulia system iko strong utatoboaje kuleta uasi. Kufikia malengo kwa njia aliyoichagua ni ngumu sana na kwamba haiwezekani. Magufuli alikuwa mjanja sana alimteka JK kiakili wala kabla hakuwa chaguo la JK, Alionesha utii na uaminifu wa hali ya juu na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kila akienda kufuatilia mradi wa barabara utasikia mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwanzilishi wa uchawa ni Magu na akatoboa bila kutarajia. Aliyempaisha Magu ni JK kumteua waziri wa Ujenzi maana ni kipindi cha JK nchi hii ilifunguliwa kwa barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa lami na kuunganisha nchi zote jirani kwa lami ndio maana watu hasa vijana wadogo wanachanganya aliyejenga barabara za lami kati ya JK na Magu, Magu alikuwa msimamizi tu zile zilikuw ndoto za JK. Ukitaka kutoboa kirahisi lazima ushikwe mkono na kiongozi mkuu wa system. Polepole ni jinga limejimaliza lenyewe, balozi tena km yeye ni sisimizi mdogo sana kufanya lolote lenye impact.namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?
+13057764396
Hii ni namba ya wapi?
ubarikiwe. Nimehisi kuwa huyu haezi kuwa hapa akasema aliyoyasema na hawezi kuwa Cuba maana wanaweza kumleta kwa pingu ...nchi za kikomunist hazina maanaNamba ya simu +1 305 776 4396 inatumia code ya kimataifa +1, ambayo ni ya:
Kisha sehemu ya pili ya namba 305 ni area code ya Florida, USA, hasa maeneo kama Miami, Miami Beach, na maeneo ya karibu ya Miami-Dade County.
Kwa hivyo, namba hiyo:
Imetoka Marekani
Haswa eneo la Miami, Florida
Ikiwa hujui ni nani aliyekupigia au kutuma ujumbe kwa namba hiyo, tahadhari ni muhimu kwani kuna uwezekano wa spam, scam, au hata voicemail bots kutoka Marekani.
Kwa kuongezea tu kuna app kama Holafly mimi hii natumia nikiwa nasafiri kuingia nchi nyingine sihitaji kununua SIM card ya nchi hiyo kupata huduma ya internet wala Wi-Fi bali ni e-sim inayokupa unlimited internet katika nchi 150 na huwa narecharge siku kadhaa kabla ya safari hivyo option ni nyingi tu za kutohitaji kutumia huduma yoyote ya internet katika nchi husika.+1 hiyo ni USA
---
Iko hivi:
Mfano:
- Waweza nunua na kutumia namba za nje ya nchi yeyote utakayo.
- Bei hutegemea ni huduma ipi unahitaji kwenye hiyo namba na kwa muda gani:
Hivyo waweza kuwa unatumia namba ya China au Germany kwa shughuli zako, ila upo Tanzania na sio China wala Germany.
- SMS pekee (kupokea)
- SMS kupokea na kutuma
- SMS + Voice Call
Ukihitaji mifano na kujua zaidi nijulishe.
Anatupigania watanganyika basi!Shida yote hii ya nini, mtu ulikuwa una diplomatic status, leo unajificha unaishi km nguchiro, shida zingine tunajitakia ndio maana Mwenyenzi Mungu amesema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, atagain nini zaidi ya alichokuwa anapata. Hii nchi imetulia system iko strong utatoboaje kuleta uasi. Kufikia malengo kwa njia aliyoichagua ni ngumu sana na kwamba haiwezekani. Magufuli alikuwa mjanja sana alimteka JK kiakili wala kabla hakuwa chaguo la JK, Alionesha utii na uaminifu wa hali ya juu na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kila akienda kufuatilia mradi wa barabara utasikia mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwanzilishi wa uchawa ni Magu na akatoboa bila kutarajia. Aliyempaisha Magu ni JK kumteua waziri wa Ujenzi maana ni kipindi cha JK nchi hii ilifunguliwa kwa barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa lami na kuunganisha nchi zote jirani kwa lami ndio maana watu hasa vijana wadogo wanachanganya aliyejenga barabara za lami kati ya JK na Magu, Magu alikuwa msimamizi tu zile zilikuw ndoto za JK. Ukitaka kutoboa kirahisi lazima ushikwe mkono na kiongozi mkuu wa system. Polepole ni jinga limejimaliza lenyewe, balozi tena km yeye ni sisimizi mdogo sana kufanya lolote lenye impact.
Agiza kinywaji kwa Mangi nitalipa.Ttcl ya mezani😂😂🤣
Eti Mulilo na wenzake wanampigia simu aseme alipo wamuongezee ulinzi.Kwa kuongezea tu kuna app kama Holafly mimi hii natumia nikiwa nasafiri kuingia nchi nyingine sihitaji kununua SIM card ya nchi hiyo kupata huduma ya internet wala Wi-Fi bali ni e-sim inayokupa unlimited internet katika nchi 150 na huwa narecharge siku kadhaa kabla ya safari hivyo option ni nyingi tu za kutohitaji kutumia huduma yoyote ya internet katika nchi husika.
Nikimjibu mtoa mada kwa utafiti wangu tu mdogo ni kuwa licha ya hivyo bado naamini Polepole hajarudi Tanzania amewatengenezea decoy wahuni tu ndio maana unaona wanahaha.