Polepole: Mimi nipo Tanzania

Polepole: Mimi nipo Tanzania

Eti Mulilo na wenzake wanampigia simu aseme alipo wamuongezee ulinzi.
Hivi hawa polish hata zile "series" za upelelezi zilizotafsriwa kwa Kiswahili huwa hawaziangalii?
Muliro anatumbua macho tu utafikiri anaongea vitu vya maana kumbe upumbavu mtupu.

Polepole asingerecord ile video usiku huenda dadayake kutekwa na vibaka wa CCM tungeambiwa amejiteka kuzua taharuki au ugomvi utokanao na wivu wa kimapenzi.

Sasa Muliro anasema uchunguzi unaendelea story za uchunguzi wa kina Sativa ,Ali Kibao,Mdude ,Kitima hadi leo hazina majibu wanachunguzaje wakati wao ndio wanajua.

Ndio maana Polepole kasema watekaji wanajulikana kabisa ila tu sababu ni wako kwa maelekezo ya mtu fulani ndio maana sisi tunadanganywa hawajulikani.
 
+1 hiyo ni USA
---
Iko hivi:
  • Waweza nunua na kutumia namba za nje ya nchi yeyote utakayo.
  • Bei hutegemea ni huduma ipi unahitaji kwenye hiyo namba na kwa muda gani:
Mfano:
  • SMS pekee (kupokea)
  • SMS kupokea na kutuma
  • SMS + Voice Call
Hivyo waweza kuwa unatumia namba ya China au Germany kwa shughuli zako, ila upo Tanzania na sio China wala Germany.
Ukihitaji mifano na kujua zaidi nijulishe.
Sema asante Chatgpt
 
Eti Mulilo na wenzake wanampigia simu aseme alipo wamuongezee ulinzi.
Hivi hawa polish hata zile "series" za upelelezi zilizotafsriwa kwa Kiswahili huwa hawaziangalii?
Jamaa ameamua kuwa comedian. Wangemkamata sio tu wangemlawiti nafikiri wangempoteza kabisa.
 
Miami Florida, USA. Sio mbali sana na Cuba. Ni mji wenye watu wengi kutokea Cuba
asante, nilisema akiwa Cuba, watammaliza kwa kumleta huku under escort maana wakomunist ni rafiki wa samia
 
namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?


+13057764396

Hii ni namba ya wapi?
Ni ya Whatsup. Na pia hata Tanzania bado unaweza kutumia namba ya nje kwa huduma ya ''roaming''. Anyways ameamua kuwachezea akili tu kwani asingeweza kuingia kwa njia za panya kwani wangepata sababu ya kumfanyia uhuni.
 
Zile feni zote zinazopuliza na kupunga katika mkutano wake Humphrey Herson Polepole inaonesha yupo maeneo ya Habana Cuba au Miami US ndiyo msimu wa joto kali kuliko Dar es Salaam


View: https://m.youtube.com/watch?v=l_fAVWILBag

Pia mawaya waya yale ni kama huko Cuba au mtu homeless asiye na makazi Miami Florida US / nchi za ulaya za Scandinavia akisubiri karatasi za ukimbizi zikae sawa.
 
Namba ya simu +1 305 776 4396 inatumia code ya kimataifa +1, ambayo ni ya:





Kisha sehemu ya pili ya namba 305 ni area code ya Florida, USA, hasa maeneo kama Miami, Miami Beach, na maeneo ya karibu ya Miami-Dade County.

Kwa hivyo, namba hiyo:

Imetoka Marekani

Haswa eneo la Miami, Florida


Ikiwa hujui ni nani aliyekupigia au kutuma ujumbe kwa namba hiyo, tahadhari ni muhimu kwani kuna uwezekano wa spam, scam, au hata voicemail bots kutoka Marekani.
Malizia na Source Chatgpt
Maana ukiulizwa maswali ya hayo maelezo huwezi jibu
 
nieleweshe basi siyo kunitukana
Ukienda hizo Nchi ukichukua namba zao huku kwetu unazitumia kama kawaida kwa rooming tu unakuta mtu yupo hapa ila kaweka line ya China whatsAp na local call ila simu za ndani gharama inakua kubwa kidogo.
 
Namba ya simu +1 305 776 4396 inatumia code ya kimataifa +1, ambayo ni ya:





Kisha sehemu ya pili ya namba 305 ni area code ya Florida, USA, hasa maeneo kama Miami, Miami Beach, na maeneo ya karibu ya Miami-Dade County.

Kwa hivyo, namba hiyo:

Imetoka Marekani

Haswa eneo la Miami, Florida


Ikiwa hujui ni nani aliyekupigia au kutuma ujumbe kwa namba hiyo, tahadhari ni muhimu kwani kuna uwezekano wa spam, scam, au hata voicemail bots kutoka Marekani.
Hizi namba zipo kibao zinauzwa kwenye app kuanzia dollar 1 kwa mwezi acha ushamba mkuu
 
Back
Top Bottom