Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,399
- 154,773
Suala si kwenda mahakamani nipate haki yangu.nenda mahakamani ukapate haki yako bwashee badala ya kunguruma ukiwa uvunguni mwa meza
Inawezekana huko mahakamani hata vigezo vya kufika sina. Na mahakama zinatoa maamuzi kwa amri kutoka juu kama alivyosema Rostam Aziz.
Ila, mpaka sasa umeelewa hata tofauti ya Parliament na National Assembly?