Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,230
Reaction score
16,896
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Hii yote ni kwa lengo moja tu la kumlinda mtawala kutoka nchi jirani! Aisee utakuwa umerogwa wewe! Siyo bure.
 
Hii yote ni kwa lengo moja tu la kumlinda mtawala kutoka nchi jirani! Aisee mtakuwa mmerogwa nyinyi! Siyo bure.
Sisi rangi ya paka sio muhimu kama anakamata panya. Katiba yetu haisemi hivyo unavyosema. Hii ya Samia sio hoja tena maana tayari ndiye Rais wa nchi hadi 2030. Kaka msaidie aendelee kutujengea reli na hospitali nyingi zaidi. Katiba sio jambo la haraka na kufa na kupona kwakuwa Katiba tunayo tayari. Hata kama yeye hataiandika upya sasa wajao wataiandika tu. Kitu chenye haraka sana kwetu ni maji, chakula, reli, barabara, amani na utulivu.
 
Ni mgawanyo wa majukumu tu. Mambo ambayo tumewaachia ccm wayalaani na kuyasifia (kama kulaani kuchomwa kwa miundombinu, kusifia miradi kama bwawa la Mwalimu na umeme wake, nk)
NA ambayo sisi wapenda haki (kulaani vifo vya raia, utekaji, ubambikaji wa kesi na ufisadi kwa ujumla)
Mimi hapa ninaamini kuwa mtu hawezi kutekwa kama hana sababu ya kutekwa. Nchi haiwezi kuingia gharama ya kuwa na majeshi mengi kama JWTZ, JKT, Uhamiaji, Polisi, Usalama wa taifa, zimamoto, na mgambo kama hakuna watu wa ndani na nje ya nchi wanaostahili kuuliwa, kutekwa, kupelelezwa, kukamatwa, kukaguliwa, kufungwa jela, au kulindwa uhai na mali zao. Usiingizwe kwenye mtego wa kuambiwa kila anaetekwa, anauliwa, anapekuliwa, anaekamatwa au kufungiwa anachofanya ni mtu mwema aliyeonewa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni ujinga mtupu kuwaza hivyo na hakuna dola duniani inalindwa namna hiyo.

Kama watu wangekuwa wanatekwa tu kiholela basi hata mimi na wewe zamu yetu ya kutekwa ingeshatufikia siku nyingi zilizopita. Timiza wajibu wako kwanza kabla haki haijatamalaki kwako.
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Tatizo wewe ni mwana ccm. Warioba ni Mtanzania kwanza,mwana ccm pili. Hivyo ndivyo ilivyo ukitaka usitake.
 
Ukimfukuza what next?
Mtajua sasa mnahangaishwa na mtu ambae sio mwanaCCM mwenzenu. Mzee Warioba hajui kama malipo yake ya kustaafu yanatengemea amani, utulivu na uzalishaji mkubwa kiuchumi wa serikali. Anadhani fedha anazolipwa zinaanguka tu kutoka mbinguni. Kwani Warioba hajui kama yeye ni miongoni mwa mizigo ya serikali na wananchi kumtunza? Hajui vurugu zile zimeiingiza hasara kubwa serikali ya kuzuia na kukarabati miundombinu iliyochomwa?

Mimi nina uhakika kuwa yeye alikuwa miongoni mwa wanaCCM waliokuwa wanafahamu kama nchi inakwenda kuchomwa siku ya uchaguzi.
 
CCM kwa sasa ni kama zimwi, linakula wanachama wake!
 
Tatizo wewe ni mwana ccm. Warioba ni Mtanzania kwanza,mwana ccm pili. Hivyo ndivyo ilivyo ukitaka usitake.
Hiyo sio kweli. Wakati Tanganyika inauliwa yeye alikuwepo na hakufanya kitu, wakati katiba hii ya 1977 inaandikwa yeye alikuwepo na hakufanya kitu, Wakati yeye anakuwa makamu wa kwanza wa Rais katiba na uchaguzi ilikuwa hivihivi lakini hakufanya kitu, wakati anakuwa Waziri Mkuu katumia katiba hiihii na alikaa kimya akiifurahia, wakati anakuwa jaji katumia katiba hiihii na alinyamaza. Mzee hana lolote ndani na kimataifa, anasukumwa na mambo yake binafsi tu.

Wamjadili na kumtimua maana anawashwawashwa.
 
Nyerere alisema Ccm siyo mama yake wala baba yake siku kikiacha misingi yake atakihama. Wewe ni wale ccm oyaoya ambao ni bendera fata upepo.
Ccm imetokana na Tanu ambayo ahadi zake nitasema kweli daima fitina kwqngu mwiko, pia kasome kitabu cha Nyerere tujisahihishe.
 
Mtajua sasa mnahangaishwa na mtu ambae sio mwanaCCM mwenzenu. Mzee Warioba hajui kama malipo yake ya kustaafu yanatengemea amani, utulivu na uzalishaji mkubwa kiuchumi wa serikali. Anadhani fedha anazolipwa zinaanguka tu kutoka mbinguni. Kwani Warioba hajui kama yeye ni miongoni mwa mizigo ya serikali na wananchi kumtunza? Hajui vurugu zile zimeiingiza hasara kubwa serikali ya kuzuia na kukarabati miundombinu iliyochomwa?

Mimi nina uhakika kuwa yeye alikuwa miongoni mwa wanaCCM waliokuwa wanafahamu kama nchi inakwenda kuchomwa siku ya uchaguzi.

Unawaza mafao na posho, ndio maana utu umekutoka, yeye warioba hayo sio ya maana mbele ya haki za binadamu wenzake.
 
CCM kwa sasa ni kama zimwi, linakula wanachama wake!
Warioba alishiriki kikamilifu kwenye kulitengeneza hili zimwi (katiba ya CCM na katiba ya nchi) linalowatafuna wenyewe. Alishiriki kutengeneza Katiba hii inayompa nguvu nyingi Rais na yenye serikali mbili tu. Ni wajinga sana, Wakati wanaitengeneza hii Katiba walidhani wanamtengenezea Nyerere tu (ndugu yao), sasa anashangaa nguvu hizi za katiba yao zinatumiwa na asiye ndugu yake, na tena mwanamke.

Watulie wanyolewe!!
 
Nyerere alisema Ccm siyo mama yake wala baba yake siku kikiacha misingi yake atakihama. Wewe ni wale ccm oyaoya ambao ni bendera fata upepo.
Ccm imetokana na Tanu ambayo ahadi zake nitasema kweli daima fitina kwqngu mwiko, pia kasome kitabu cha Nyerere tujisahihishe.
Alipaswa kuachana nacho kuliko kung'ang'ana akiwa ndani ya mtumbwi huku anautoboa. Anataka aendelee kulipwa mafao yake lakini anashiriki hujuma zinazougharimu uchumi. Hata yeye anafurahi Tz kunyimwa misaada lakini anataka mafao yake yaendelee kulipwa. Anafanya vitendo vinavyotatiza utalii na uwekezaji lakini anataka serikali ya CCM iendelee kumtunza. Anaungana na wapinzani kuzuia bandari isibinafsishwe lakini anataka mafao yake yalipwe kama kawaida.

Angekuwa mm ningejenga hoja ya kumchomolea betri na kuacha kumlipa mafao yake milele kwa muda uliobaki.
 
Nenda Lumumba mnapopokea posho mkaulize kwa Kihongosi , sasa unatuuliza sisi ndio database ya wanaccm wewe zezeta.
 
Alipaswa kuachana nacho kuliko kung'ang'ana akiwa ndani ya mtumbwi huku anautoboa. Anataka aendelee kulipwa mafao yake lakini anashiriki hujuma zinazougharimu uchumi. Hata yeye anafurahi Tz kunyimwa misaada lakini anataka mafao yake yaendelee kulipwa. Anafanya vitendo vinavyotatiza utalii na uwekezaji lakini anataka serikali ya CCM iendelee kumtunza. Anaungana na wapinzani kuzuia bandari isibinafsishwe lakini anataka mafao yake yalipwe kama kawaida.

Angekuwa mm ningejenga hoja ya kumchomolea betri na kuacha kumlipa mafao yake milele kwa muda uliobaki.
Hujui siasa
 
Warioba alishiriki kikamilifu kwenye kulitengeneza hili zimwi (katiba ya CCM na katiba ya nchi) linalowatafuna wenyewe. Alishiriki kutengeneza Katiba hii inayompa nguvu nyingi Rais na yenye serikali mbili tu. Ni wajinga sana, Wakati wanaitengeneza hii Katiba walidhani wanamtengenezea Nyerere tu (ndugu yao), sasa anashangaa nguvu hizi za katiba yao zinatumiwa na asiye ndugu yake, na tena mwanamke.

Watulie wanyolewe!!
Hata historia huijui.
Warioba aliikuta hiyo Katiba.
No resesrch no right to speak.
 
Unawaza mafao na posho, ndio maana utu umekutoka, yeye warioba hayo sio ya maana mbele ya haki za binadamu wenzake.
Katiba hii ni ileile aliyoitumia yeye akiwa waziri Mkuu, Jaji, Makamu wa Rais. Haijabadilishwa na samia hata nukta kwenye ibara yoyote ile. Ni ileile waliyoitumia kutumia rasilimali zetu kuikombolea Afrika, ni ileile waliyoitumia kumchokoza na kumpiga Idd Amini, Ni ileile waliyokuwa wanaendeshea uchaguzi wa NDIYO au HAPANA.
 
Back
Top Bottom