Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

Kama ukitumia akili kubwa kuangalia kwa makini kilichokuwa kwenye akili ya walioandika kipengele hiki cha "baada ya bungwe kuvunjwa" kwenye Katiba, utagundua kuwa walikuwa wakiwalenga wabunge tu. Lengo lao huenda walikuwa wanataka kuzuia kuvuruga shughuli za bunge la Katiba kwa wabunge kwenda majimboni kuweka mambo sawa ya kuteuliwa kuwa wagombea. Vinginevyo ziko shughuli nyingi za uchaguzi kama vile kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, kuchapisha makaratasi ya uchaguzi, kusaini maadili na kanuni za uchaguzi, kutoa elimu ya uchaguzi yanafanyika kabla ya bunge kuvunjwa.
Hapana.

Rais ni sehemu ya Bunge. The president is part of Parliament.

Neno Bunge kwa Kiswahili ni tatanishi. Kwa sababu halitofautishi Bunge Parliament (wabunge, spika na rais) na Bunge National Assembly (wabunge na Spika).

Katiba ya Kiswahili ina confuse kwa sababu inataka Mkutano wa Bunge (National Assembly) na Bunge (Parliament).

Nafikiri katiba ya Kiingereza imetofautisha Parliament na National Assembly vizuri.

Kilichovunjwa ni Parliament (bunge, Spika na uRais) si National Assembly (wabunge na Spika).

Ndiyo maana tunasema Parliament is dissolved. Hatusemi The National Assembly is dissolved.

Jifunze tofauti kati ya Parliament na National Assembly.

Inaonekana unafikiri The National Assembly is dissolved wakati actually Parliament is dissolved.
 
Huyo Polepole anapoteza muda wake. Watanzania wanakusikiliza ukiwa unabebwa na umaarufu wa wakati fulani ukishaondoka huo wakati unabakia kuwachosha masikioni mwao.

Ni umaarufu wa muda ambao huenda ukipotea baada ya watu kutaka kusikia hoja mpya zenye kuwasisimua kwa aina tofauti na ule msisimko walioupata kutoka kwako.

Udini haumsumbui Polepole peke yake, na wote walio nyuma yake wanaopita njia zile zile za hoja anazoziweka hadharani.

JPM aliwapa ulinzi wa kisaikolojia watu wote waliokuwa karibu na awamu yake. Alipokufa kundi lake halikuwa limejiandaa na kipindi kile cha majonzi waliumiza vichwa kwa haraka kutaka 'kumuondoa' Samia juu ya uso wa dunia lakini Malaika Mabeyo akajitokeza na kutumia nguvu ya jeshi katika kumkingia kifua Samia aliyetaka kunyanyaswa na kudhulumiwa na wasaidizi wa hayati.

Huyo atapita tu sawa na yule bondia maarufu mwenye kelele nyingi alipokuja kila mtu alimuimba lakini hivi sasa watu wameshamchoka hakuna anayelikumbuka jina lake.
Udini, ni udini tu hakuna lingine. Haiwezekani kila anaekosoa anataja habari za Mbinguni kama kichaka chake. Hebu angalia pattern yao hii hapa; Polepole, Gwajima, Kitima, Dr. Slaa, Warioba, Heche, Lissu, Mapinduzi......... Na key words zao ni "waarabu, uwarabuni, misikiti na Zanzibar". Maana yake walimkataa Samia kabla hajaapishwa, walijuaje kama hataongoza nchi vizuri kama sio kumkataa kama Samia tu?

Lengo lao kuu ni kutaka Samia aende akajikombe kwao kama njia ya kutafuta suluhu na kubakisha mirija yao mirefu inayofika hadi ulaya magharibi na Vatican inayolimaliza taifa miaka mikaka na vikaka. Mirija iliyolidumaza bara zima la Afrika kwa wakati mmoja. Magharibi wanalitizama bara la Afrika kama nchi moja tu; ndio maana Afrika chini ya jangwa inafanana kwa kila kitu kiuchumi na kimaendeleo. Hii inawashangaza sana Magharibi hasa kwenye vipindi hivi vya awamu ya tano na wawamu ya sita; viongozi wa awamu hizi mbili wamegundua pass word ya maendeleo ya Tanzania; hawapendi, na lazima tutayasikia mengi sana kutoka kwao kupitia watanzania wenzetu.
 
Hapana.

Rais ni sehemu ya Bunge. The president is part of Parliament.

Neno Bunge kwa Kiswahili ni tatanishi. Kwa sababu halitofautishi Bunge Parliament (wabunge, spika na rais) na Bunge National Assembly (wabunge na Spika).

Katiba ya Kiswahili ina confuse kwa sababu inataka Mkutano wa Bunge (National Assembly) na Bunge (Parliament).

Nafikiri katiba ya Kiingereza imetofautisha Parliament na National Assembly vizuri.

Kilichovunjwa ni Parliament (bunge, Spika na uRais) si National Assembly (wabunge na Spika).

Ndiyo maana tunasema Parliament is dissolved. Hatusemi The National Assembly is dissolved.

Jifunze tofauti kati ya Parliament na National Assembly.

Inaonekana unafikiri The National Assembly is dissolved wakati actually Parliament is dissolved.
Huo ni muktadha tu, lakini Rais yuko kwenye campaign muda wote wa miaka 5. Sasa hivi wabunge hakuna lakini Rais yupo. Usipotoshe watu aloo makusudi au kwa bahati mbaya. kama Rais angekuwa mbunge kama wabunge wengine basi nchi sasa hivi ingekuwa inaongozwa na Jaji Mkuu hadi Rais apatikane.
 
Huo ni muktadha tu, lakini Rais yuko kwenye campaign muda wote wa miaka 5. Sasa hivi wabunge hakuna lakini Rais yupo. Usipotoshe watu aloo kwa ufahamu wa kukariri. kama Rais angekuwa mbunge kama wabunge wengine basi nchi sasa hivi ingekuwa inaongozwa na Jaji Mkuu hadi Rais apatikane.

Muktadha ni wapi?

Umekubali tofauti ya Parliament na National Assembly, na kwamba hiyo tofauti ni factual si muktadha tu?
 
Nimesikiliza maongezi yake karibia yote ila sijaisikia akisema hayo maneno..amesema yupo peke yake na Mungu wake, msimpandikizie maneno
 
Hapana.

Rais ni sehemu ya Bunge. The president is part of Parliament.

Neno Bunge kwa Kiswahili ni tatanishi. Kwa sababu halitofautishi Bunge Parliament (wabunge, spika na rais) na Bunge National Assembly (wabunge na Spika).

Katiba ya Kiswahili ina confuse kwa sababu inataka Mkutano wa Bunge (National Assembly) na Bunge (Parliament).

Nafikiri katiba ya Kiingereza imetofautisha Parliament na National Assembly vizuri.

Kilichovunjwa ni Parliament (bunge, Spika na uRais) si National Assembly (wabunge na Spika).

Ndiyo maana tunasema Parliament is dissolved. Hatusemi The National Assembly is dissolved.

Jifunze tofauti kati ya Parliament na National Assembly.

Inaonekana unafikiri The National Assembly is dissolved wakati actually Parliament is dissolved.
Hiyo tafsiri kakupa nani kama hujaitoa mahakamani? Ndiyo maana nakwambia waliochomeka kipengele cha bunge kuvunjwa kwenye katiba alimaanisha kwa wabunge ambao kazi yao ni bungeni. Na bunge huwa linavunjwa na Rais, hivyo Rais hawezi kujivunja mwenyewe. Hakuna chama cha siasa kitakabwa na kifungu hiki katika uteuzi wa mgombea urais wao; ila kinavibana vyama vya siasa katika kuteua wagombea wao wa ubunge tu.
 
Mkuu,

Sasa hawa watu wengine wanawasikia na kuwasoma tu wakati mimi ni watu wangu, family friends, personal friends, relatives.

Mtu atamzungumzia Warioba hapa wakati hata hajamuona wakati mimi nilikuwa naenda kulala kwa Warioba Haile Selassie kwa rafiki zangu.

Mtu atamzungumzia Mkapa hata hajamuona wakati mimi nilikuwa nakwenda kwa Mkapa Sea View kabla hata hajawa rais.

Siku moja rafiki yangu kaniagiza nimpelekee mzigo fulani kwao kwa Mkapa pale Sea View, basi na mimi nikawa nimetingwa na kazi, nikaunganisha safari za kazi na wenzangu wa kazini. Nikasema naomba mnipitishe Sea View hapo kuna mzigo namuachia mtu.

Wale jamaa kuja kustuka, naenda kuacha mzigo kwa Mkapa. Walishangaa sana. Toka siku hiyo wakawa wananiangalia kama si mtu wa kawaida. Wananiambia yani wewe unajuana na familia ya rais? Nikasema sasa hawa mbona tunajuana zamani tu tangu parties za utotoni kabla hata ya urais?

In fact wakati Mkapa anakwenda kusoma Columbia University Uncle wangu ndiye aliyemsindikiza uwanja wa ndege na uncle wangu alipewa jukumu la kuhakikisha huyu kijana mdogo Mkapa anayeonesha matumaini makubwa kuwa msomi mzuri atafanikiwa huko Columbia University, New York City.

Mtu ataongelea habari za Usalama Tanzania, wakati mimi nilikuwa napiga stories na Mkurugenzi Mkuu wa TISS, uncle wangu mwingine.

Mtu atasema habari za Ikulu, wakati mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu. By the time Mwinyi rais mtoto wake nilikuwa nampiga vibao tu na hanifanyi kitu alikuwa ananijua, yeye mtoto wa rais, mimi mtemi wake.

Wengine hatusomi kwenye magazeti tu hizi habari.
Nyie ndio watoto wa vigogo wala nchi.
 
Hiyo tafsiri kakupa nani kama hujaitoa mahakamani? Ndiyo maana nakwambia waliochomeka kipengele cha bunge kuvunjwa kwenye katiba alimaanisha kwa wabunge ambao kazi yao ni bungeni. Na bunge huwa linavunjwa na Rais, hivyo Rais hawezi kujivunja mwenyewe. Hakuna chama cha siasa kitakabwa na kifungu hiki katika uteuzi wa mgombea urais wao; ila kinavibana vyama vya siasa katika kuteua wagombea wao wa ubunge tu.
Bunge lililovunjwa ni Parliament. Parliament ni mkusanyiko wa wabunge, Spika na Rais.

Bunge lililovunjwa si National Assembly, National Assembly ni wabunge na Spika tu.

Umeelewa tofauti ya Parliament na National Assembly?
 
Kama hata Mzee Warioba anajikita kwenye desturi na mila za chama badala ya katiba ya CCM na Katiba ya nchi taratibu anageuka kuwa mzee wa hivihivi tu. Hawa ni wazee ambao walikuwa hawawezi kumshauri Mwl Nyerere kwa chochote kile. Wangekuwa na ujasiri huu wanaojifanya kuwa nao leo basi Mwl asingeifuta Tanganyika na kuibakisha Zanzibar na wala asingeweza kuandika Katiba kama hii. mzee warioba ni muoga hadi sasa anaeshindwa kutoka hadharani kukemea, badala yake anatanguliza mhuni huyu eti ndiyo awasemee.
Mabadiliko ya kweli nchi hii yataletwa na vijana, na sio wazee.
 
Nyie ndio watoto wa vigogo wala nchi.

Mimi nakula dunia usinishushe level ya nchi mkuu 😂😂😂.

Mimi nilikataa kukaa Tanzania kwa sababu ya habari hizi.

Nilipata kazi yangu ya kwanza bila kuwatumia wazazi wangu.

Watu wakawa wananiambia "Hiyo kazi mzee kakuunganishia eeh". Walitegemea hilo tu, waka assume hivyo tu.

Nikawa nawapinga sana. Nimepata kazi mwenyewe sijatumia connection.

Nikasema hapa bora nihame nchi tu niende kupambana na Wamarekani huko hawanijui siwajui.

Nikaenda nikapambana nchi ya kigeni hakuna mjomba wala shangazi mtu unasimama kwa weledi wako tu.

Ndiyo niko huku sasa hivi.

Nikishuka tu Dar, narudi kule kuke.

Kuna siku nilirudi likizo, sikunya pili tu mdogo wangu kanipitisha nipaone Mlimani City siku hizo ndiyo pameanza. Nafika Samaki Samaki si kuna jamaa ananijua kaanza kupiga kelele "Mnamjua huyuu, mnamjua huyuuu?"

Yani kama umeona "Coming To America" ni kama ile scene mtu wa Zamunda kakutana na Prince Akim bila kutegemea.
 
Poverty in the midst of prentful.

Kama taifa,tumebarikiwa Kila kitu ila ni masikini wa kutupwa. Na waliotufikisha hapa ndiyo hao masisiem wanaoparangana Kila siku.

Kama taifa tumepata hasara kubwa sana kuwa na chama kama CCM. Hasara kubwa sana...!!
Plentful plaese, not prentful
 
Huwa nasema humu kila siku kwamba Mshana Jr , yeye yuko wazi sana
 
Muktadha ni wapi?

Umekubali tofauti ya Parliament na National Assembly, na kwamba hiyo tofauti ni factual si muktadha tu?
Hiyo ni tafsiri yako wewe, wanaotoa tafsiri sahihi kwa muktadha wa mazingira yetu na katiba yetu ni wanasheria. Kama Polepole na wengine wanataka kujua kama CCM kumpitisha mgombea urais wao kabla ya bunge kuvunjwa
 
Hii ni tafsiri yangu kwenye jambo gani? Jambo la Parliament na National Assembly?

Unaongelea uongozi wa nchi na kuvunjwa kwa bunge ni nini wakati hujui hata tofauti ya Parliament na National Assembly?

Nikikwambia Parliament ni ni na National Asaembly ni ni i kwa mujibu wa sheria na katiba unaniambia hiyo ni tafsiri yangu tu?
 
Mabadiliko ya kweli nchi hii yataletwa na vijana, na sio wazee.
Uko sahihi kwa hili, nakuunga mkono. Lakini ni kijana wa aina gani na kutoka chama gani?
 
Hii ni tafsiri yangu kwenye jambo gani? Jambo la Parliament na National Assembly?

Unaongelea uongozi wa nchi na kuvunjwa kwa bunge ni nini wakati hujui hata tofauti ya Parliament na National Assembly?

Nikikwambia Parliament ni ni na National Asaembly ni ni i kwa mujibu wa sheria na katiba unaniambia hiyo ni tafsiri yangu tu?
ni bunge lipi limevunjwa kwa mujibu wa katiba yetu na walimaanisha shughuli zipi zifanywe baada ya bunge kuvunjwa na zipi hazisubiri?
 
ni bunge lipi limevunjwa kwa mujibu wa katiba yetu na walimaanisha shughuli zipi zifanywe baada ya bunge kuvunjwa na zipi hazisubiri?
Bunge kwa maana ya Parliament.

Rais, wabunge na Spika.

Hata Rais kuba shughuki hawezi jufanya baada ya Bunge kuvunjwa.

Kikatiba kiti cha Rais kinakuwa wazi baada ya Bunge kuvunjwa.

Rais anaanza kampeni.

Rais hatakiwi kufanya kampeni kabla ya Bunge kuvunjwa.

Samia kaanza kampeni kabla ya Bunge kuvunjwa.
 
nenda mahakamani ukapate haki yako bwashee badala ya kunguruma ukiwa uvunguni mwa meza
 
U
Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania.

Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa kanda ile.

Na mwisho amefanikiwa kuonyesha kuwa kuna vita ya udini kwenye uongozi; hasa baada ya kuonyesha kuwa Mkapa alipata kura chache alipogombea kwa mara ya kwanza kwa makosa ya matangulizi wake Mzee Mwinyi (mwislam) na Magufuli alipata kura chache alipogombea kwa mara ya kwanza kwa makosa ya Jakaya (mwislamu). Kwenye hili Polepole alisema kuwa unapogombea kwa mara ya kwanza kura utakazopata sio za kwako, bali za Rais aliyekukabidhi kijiti. Hapa natofautiana nae kabisa, kwakuwa kwenye uchaguzi wa 1995 Mkapa alikuwa hajulikani ukilinganisha na mgombea wa upinzani; Lyatonga Mrema. Mwl Nyerere ndiye aliyemsaidia kupiga kampeni vinginevyo angedondoshwa; sio kwasababu ya udhaifu wa uongozi wa Mzee Mwinyi. Mwl Nyerere alidiriki kusema hawezi kulala nyumbani eti kwasababu ya ubaba wa taifa, wakati yuko jukwaani akasema "I can not let my country go to the dogs". Hivyo tatizo ni CCM kumsimamisha mgombea (Mkapa) ambae hajulikani kwa watu.

Magufuli alipata kura chache uchaguzi wa 2015 kwasababu Lowassa alikuwa na nguvu kuliko JPM, sio kwasababu ya uongozi wa JK ulikuwa mbaya. Hapa Humphrey anaongelea udini kwakuwa anafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 JPM alishinda kwa kuwaengua wapinzani wote na kuiba kura.

Nijuavyo mimi Humphrey na wenzake wataashindana lakini hawatashinda hii vita ya udini.

Humphrey anawadanganya watoto wachanga kuwa mchakato wa katiba ulivunjika kwasababu ya rasimu ya katiba ilikuwa inawabana viongozi wabadhilifu ndiyo maana JK aliikataa. Huu ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine kwakuwa katiba mpya pendekezwa ingeanza kufanyakazi baada ya uongozi wa JK kumalizika na kuondoka madarakani; hivyo, JK hakuwa na sababu ya kuiogopa katiba ambayo ina masharti magumu kwa viongozi. Sababu ya kweli ya kuvunjika uwandishi wa katiba mpya ni Mzee Warioba na Polepole ambao walikuwa wanataka muungano wa serikali 3 badala ya serikali 01 ya sasa; hoja ambayo ilikuwa inahofiwa kuwa itakwenda kuvunja muungano hasa baada ya kuungwa mkono na UKAWA.

The main agenda sasa imefahamika kuwa ni UDINI, UDINI, UDINI kwakuwa kuna watu hawakutaka Samia (mwislamu) kuwa Rais baada ya JPM kufariki. Hii ni ajenda ya kidini kabisa, hakuna lingine hapo. Walimkataa hata kabla ya kujua ataongozaje atakapoapishwa. Sasa tuko tayari watanzania kwa hili.

View: https://youtu.be/0j3WOvqNL_A?si=LrrfTy6_Ek55Bzso

Ukweli ni Ukweli tu hauhusiani na Udini Udini !
Waovu wengi hutumia Dini kama kichaka chao cha kujifichia ili eti wasiumbuliwe 😳 !
Nchi hii haina Udini bali kuna watu wana Dini zao na wengine hujifichia huko na kuficha maovu yao 😳 !
Maovu ni maovu tu hayahusiani na Dini ya huyo mtenda maovu !
Kila mtu ataubeba msalaba wake 😳 !
 
Back
Top Bottom