mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 156
- 189
Sio udini ila ni ukwel mtupu kabsa jakaya alihalibu Tanzania kwa uongozi wake na kufanya ccm kuonekana chama cha mafisadi lkn ukawa 2015 wangechukua uongozi kabsa wa Tanzania,ujinga waliofanya ni kumchukua lowasa ambaye naye alikuwa fisadi kutoka ccm....ccm walipoona chama kimehalibika wakabidi wamchague mtu ambaye anaaminika kwa kufanya kazi na ajibebe yeye mwenyew kwa sifa zake.ambaye ni magufuli.