Wakishindwa kukuteka kinachofuata ni kukupiga klpapayi
Hawa jamaaa wana mbinu nyingi sana za kuwamaliza watu wanaopinga ufisadi wao.
Option ya kwanza huwa sumu, ya pili huwa kuteka na mwisho kabisa ni kupiga kipapayu.
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.
Mkimbizeni popote be it London, , USA...
Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea.
Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu.
https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.
Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?
Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
Ndugu Zangu Watanzania,
Ni Ukweli ulio wazi Kuwa Mzee Warioba amelitumikia Taifa hili kwa Muda mrefu ,ni kweli kabisa Kuwa Mzee Walioba Anahitaji Kuheshimiwa siyo kwa Umri wake bali kwa mchango wake Kwa Taifa hili . Lakini Inakuwa inasikitisha sana kuona anajadili vitu kwa hisia tu bila...
Nimemsikia mahala Mzee Warioba Waziri mkuu mstaafu akisema wazi bila kupindisha maneno kuwa tume iliyoundwa kuchunguza matukio ya kijinai ya Oktoba 29 ianze kuwahoji polisi waliopiga na kuua watu.
Ameongezea huyu mzee na kudai kuwa Polisi ipate ukweli kuwa hao polisi walioua watu kwa kupiga...
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana kuona Mtu ambaye Alikuwa ni Waziri Mkuu na Mwanasheria tena Kufikia Ngazi ya Ujaji anaweza kutoka Hadharani akaongea vitu utafikiri mtu ambaye ametoka usingizini. Inawezekana vipi mtu ambaye Amekuwa Mwanasheria akaanza kuongea vitu bila ushahidi wa...
Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
Kuna baadhi ya kauli ukizisikia zikitoka kwa viongozi wa CCM, unabakia unajiuliza, hivi ndani ya CCM hakuna watu wenye akili kubwa, mpaka chama kinaamua kuwapa uongozi watu ambao, kwa kipimo chochote, ni watu wenye akili duni, waliojaa unafiki mkubwa?
Kauli za Kihongosi hivi karibuni dhidi ya...
Kuna chawa anaitwa kikaragosi aka kihongosii. Juzi, alijitokeza na kujaribu eti kumkosoa mzee Warioba. Kumkosoa mtu yeyote si kosa. Ila kosa ni kushindwa kujibu hoja na kuzua matusi na uzushi. Huyu kikaragosi ashindwa na kulegea. Onywe.
Warioba siyo saizi ya kikaragosi. Siyo chawa wala zezeta...
Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza.
Hotuba ya warioba...
Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu.
Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba.
Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM?
Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania muda utawajibu mtapata nafasi mtakula maisha ila mtafutika na mahala penu hapatakuwepo kama mnabisha...
Mzee warioba amecheza kama Messi, Rais anatafuta watu apige nao picha ilikuonesha anaumoja sasa huyu mzee baada yakutoka pale amepiga mawe bora asingemuita.
Sasa amuite na Lissu aje kumshona vizuri.
Hatutakuwa kitu kimoja lazima atawajibika kwa mauwaji yaliyofanyika.
Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu.
Sisi vijana tunategemea tuambiwe uchungu wa kulinda amani ya Taifa letu, tunataka tuambiwe juu ya thamani ya Amani tuliyonayo sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.