Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Mimi ni chawa wa mwalimu Nyerere. CCM baada ya Nyerere ni hovyo na hakuna hata kiongozi mmoja anayenivutia. Japo wanatofautiana na Kikwete ndiye mbovu kupindukia.
Pamoja na sifa zote hizo JKN ndiye muaasisi wa mfumo huu mbaya wa kulinda waovu. Enzi zake alikuwa anahamisha mtu from here to there badala ya kumwadhibu. Akajiwekea ulinzi wa kimfumo na ndiyo uliozaa hii state capture.

Tofauti yake ni kuwa alikuwa na dhamira njema and so kwakua aliona waovu watam eliminate akajiwekea huo mfumo wa kulinda akitakacho. Shida yangu kubwa kwake, kwanini wakati ana ng'atuka aliruhusu huo mfumo kuendelea na hata baada ya kuona what happened in 1995?
 
Wabongo wengi ni kama walianza kumjua Magu akiwa Rais...

Lakini ka utakuwa ulimfuatilia tangu akiwa waziri, jamaa alikuwa mwamba sana...

Kuminya siasa mbadala na CCM hii ndio kasoro pekee katika uongozi wake iliyoweka doa jeusi...
Wanaomjuwa magu vizuri ni wale wauza masofa leaders kule
Wale ndiyo wanamjuwa magu vzr sana maana kuna wakati magu alikuwa jioni anaenda na anakaa nao anapiga stori nao
Mimi binafsi nishabahatika kumuona mara kadhaa pale

Ova
 
Nikiona mtu anakuja na ngonjera za kumsifia katili magufuli namuona kama mpuuzi tu, kipindi cha magufuli watu wameiba pesa za umma. Kina makondo, sabaya ni mabillionear kupitia magufuli, magufuli amaea watu kwa maslah yake binafs.
Makonda kakodi coaster sita za kampeni na bado kuna pesa kawalipa wajumbe wakampitisha jina. Dogo ana pesa nyingi.
 
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.

Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.

Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.

Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.

Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.

Ukweli utajulikana siku moja.
Too late!...
Mlichangia kumfrastrate,hakupata sapoti popote,Wanamtandao wanampiga,Wanaharakati wanampiga.akabaki peke yake,akazidiwa nguvu 💔😭
 
Mkuu, heshima sana. Uko sahihi. Kwangu mimi nasema Magufuli alikuwa anajua chanzo cha matatizo yetu, lakini hakuwa na uelewa wa namna ya kuyaondoa. Alikuwa anatumia nguvu kuliko akili. Na pia alikuwa anapenda kuabudiwa na mtu ukimsifia kidogo tu japo kwa unafiki, anakuamini na kukusogeza karibu. Na tatizo lake kubwa ni kudhani CCM ikibaki peke yake basi ataweza kui-control Tanzania kwa urahisi. Kwa kifupi hakuwa anataka challenge ya aina yoyote. Huwezi kuwa rais mwenye maono halafu ukalazimisha watu kama kina Kibajaji ndiyo wawe wabunge. Hata kumwacha Samia awe makamu kwenye uchaguzi wa 2020 lilikuwa ni kosa kubwa.
Mkuu we hupendi kusifiwa 😄

Ova
 
Pamoja na sifa zote hizo JKN ndiye muaasisi wa mfumo huu mbaya wa kulinda waovu. Enzi zake alikuwa anahamisha mtu from here to there badala ya kumwadhibu. Akajiwekea ulinzi wa kimfumo na ndiyo uliozaa hii state capture.

Tofauti yake ni kuwa alikuwa na dhamira njema and so kwakua aliona waovu watam eliminate akajiwekea huo mfumo wa kulinda akitakacho. Shida yangu kubwa kwake, kwanini wakati ana ng'atuka aliruhusu huo mfumo kuendelea na hata baada ya kuona what happened in 1995?
Kuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
 
Too late!...
Mlichangia kumfrastrate,hakupata sapoti popote,Wanamtandao wanampiga,Wanaharakati wanampiga.akabaki peke yake,akazidiwa nguvu 💔😭
It is never too late...His blood will cry vengeance...Tunamshukuru Kwa kupitia damu yake kama sadaka na maisha yake kama funzo kwetu sote ametimiza purpose yake ya creation na kama Imani yake is not in vain he is now celebrating what he did huko aliko, Hana majuto...Swali ni kwetu sisi je tunasimama kwenye zamu zetu?
 
Kuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
Sasa hao si walikuwa wanaishi maisha ya kupewa tu
Mzee akitoka watoto wanaanza kulialia

Ova
 
Kuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
Tusaidie kwenye Hilo Ili kum challenge JPM, utakuwa umetukomboa wengi ambao hatujui tuanzie wapi na tuishie wapi
 
Lawama kubwa zinaenda Kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama...Wanalinda waovu zaidi ya kulinda watu wema, walio na maamuzi wengi wanakuwa corrupted na wanaobaki wanakuwa hawana namna ya kufanya
Mkuu, tafadhali pitia pale kwa Manka, agizia peps ya bariidi ushushie, jioni nitapita nilipe
 
Our political system is corrupted when an elite few set the agenda for the many, marginalizing opposing voices. Current leadership has coopted our trust for their own gain, not the public good. Our urgent task is to defend and elevate true advocates like Polepole, who represent our collective interests
 
Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?
Magufuli alichukia uchaguzi tangu ashindwe uchaguzi wa Ubunge na Phares Kabuye jimbo la Biharamulo wa TLP, tangu kipindi hiko na ukija kuchanganya na Momentum of Lowasa ndio kabisa hakutaka tena kusikia uchaguzi.
 
M
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.

Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.

Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.

Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.

Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.

Ukweli utajulikana siku moja.
Mimi nakuunga mkono pwent yako japo wkt ule nyinyi Chadema mlikuwa mnamwita Nyampala wa kazi.!!!

Wana CCM pia mkatutukana sijui hatuna Elimu vilaza wana CCM maboya !!

lknTulipambana awe Rais sababu tulitangulia kumjua kumuhusu rip JPM leo sasa ndio mmegundua baada ya miaka6 kuwa kumbe mlimpinga JEMBE. !!!

Wana CCM vilaza kwamiaka 6 nyuma walikuwa mbele ya Muda kwenu!!!!¿¿😇😇😇😂

Leo hii tena tunapambana kuakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anarudi Ikulu sisi tunajua msioyajua msiotaka kuyajua adui yetu ni m1 tu kwapamoja ni maendeleo sisitunamjua SAMIA ndio Suluhu ya matatizo kwasasa !!!

Nasasa mnafanya kosa lilelile¿¿

fungua Akili zaid wanaompinga Samia kwa hoja zaifu mfano eti anaharibu nchi kivipi yani???

Utasikia jina la Abdul gari la B7 ushaidi hakuna jina la kichina vitu vya kutunga tu au propaganda za kitoto!!!

tukumbuke hata JPM kapitia kupingwa ki propaganda kibao!!

SAMIA vip anaharibu nchi wakati nchi ipo kwenye Project kubwa ya Ujenzi kwanzia SGR barabara Madaraja nk!!!

leo unadanganywa kitoto eti Samia anaharibu nchi kiaje yani!!!

Kwaiyo zana hii ili uwamini kweli Rais Samia anaharibu nchi kwanza lazima uwe na kishikio cha chuki yoyote na Rais Samia !!!

chuki yako ndio itakuongoza kuamini uwongo wa kitoto juu ya Rais Samia!

tofaut na mwanaCCM mwanaCCM mnaodhani vilaza lkn kwenye nafsi yake zambi ya chuki hana !!
.
kwaiyo ukitaka mfanane akili jambo ujipange kujieleza kwa hoja za kukosa maendeleo!!!

sio kichuki ya sababu yoyote nyengine unakwama asubui tu!!

Ndiomana wanaCCM wanajazana kwenye mikutano jua lao popote wapo maendeleo wanayaona wenyewe TV wanazo radio zipo magazeti yapo!!

adui mkuu ni maendeleo yetu SAMIA yupo kwenye kusimamia ayo Maendeleo nchi nzima !!

Sasa unampinga kwa vigezo vip zaid !!

Embu tuone pengine ipo hoja??

Tuweke maelezo kwanini Rais Samia wanasema anaharibu nchi jibu lipo??

Weka jibu au majibu hapa.............................
 
Hata kina sie tumemuelewa sasa. Inauma sana alikuwa anapenda kusema najua mtanikumbuka ila kwa mazuri. Kwa kweli tunamkumbuka na tunaumia sana kwa kutomuelewa na kuchotwa na mafisadi kuwa hakuwa anatufaa, sijui ni katili!

Sasa tangu aondoke kila mradi umesimama, hata barabara tu ambazo wakati wake zilikuwa zinaenda speed sana kila kona ya nchi. Huyu mama anajazia tu watu foleni kwa ujenzi usiokwisha, sijui ni geresha wanafanya! Yani Magufuli jamani alizungukwa na watu wabaya sana sana.
 
Tusaidie kwenye Hilo Ili kum challenge JPM, utakuwa umetukomboa wengi ambao hatujui tuanzie wapi na tuishie wapi
Lisu ndio alimjuwa vizuri JPM na kumuita Dikteta uchwara.

Mpaka sasa kushambuliwa kikatili kwa Lisu ni ngumu kwangu kumuona Magufuli ubinadamu wake, shambulio la Lisu lina mkono wa Magufuli moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom