Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Mbona kikwete na samia hamu wahukumu kwa mazuri yao badala yake mnawahukumu kwa mabaya yao tu?
Kwa hao navyojua wanajihukumu wenyewe kwa mabaya yao yaliyomengi kuliko mazuri yao
 
Mheshimiwa Polepole kama unapita humu, ujue umefanya kazi kubwa sana so far na usiache wala kuvunjika moyo. Na pia ujue Mungu hakukosea kukuweka karibu na Mh Magufuli, leo hii umemtendea haki sana sana na kazi yako umeifanya. Tumewajua wabaya wetu kwenye nchi hii. Mimi ni Muislam ila nafikiri nchi akikabidhiwa Muislam tujifikirie mara mbili mbili, always huwa ni disaster. Sijui ni kwa nini!! Uongozi wa huyu Mama ndio balaa plus plus wa madudu.
 
Unaandika kama kanya bata, Magufuli amechaguliwa na kambi ya Lowasa kumkomowa Kikwete.
 
Nikiona mtu anakuja na ngonjera za kumsifia katili magufuli namuona kama mpuuzi tu, kipindi cha magufuli watu wameiba pesa za umma. Kina makondo, sabaya ni mabillionear kupitia magufuli, magufuli amaea watu kwa maslah yake binafs.
Hadi leo hii wanauwawa na Serikali hii hii. Mfano, Mdude and others.

Hapo vipi.
 
Lisu ndio alimjuwa vizuri JPM na kumuita Dikteta uchwara.

Mpaka sasa kushambuliwa kikatili kwa Lisu ni ngumu kwangu kumuona Magufuli ubinadamu wake, shambulio la Lisu lina mkono wa Magufuli moja kwa moja.
Polepole anapozidi kumshambulia Samia kwa kumtafutia huruma JPM anachoshindwa kuelewa ni ukweli kwamba kwa kufanya hivyo anazidi kujenga mazingira ya kumchafua pia hayati JPM.

Anatumia siasa za hatari kwa kuangalia upande mmoja tu.
 
Polepole anapozidi kumshambulia Samia kwa kumtafutia huruma JPM anachoshindwa kuelewa ni ukweli kwamba kwa kufanya hivyo anazidi kujenga mazingira ya kumchafua pia hayati JPM.

Anatumia siasa za hatari kwa kuangalia upande mmoja tu.
Tatizo kubwa la nchi yetu ni vita ya makundi ya kisiasa na Wananchi kugeuzwa sheen guard.

Tabia za ukatili za Magufuli huwezi kuzisafisha hata kwa Jik.

Athari za Magufuli bado zitatuandama kwa muongo mzima ujao.
 
Kitu pekeee ambacho ccm haitaruhusu ni kumpata rais km magu cha kufanya ni kudai reforms tuingize mkuda kwny system wa kuwavurugia madiri yao nyau hawa
We we utakuwa mchaga watu ambao walitengeneza mtandao wa kupiga pesa serikalini na kwenye mashirika na makampuni yenye pesa.
Alichofanya Magufuli ni kuzivunja vunja chain zote mlizozitumia kujifaidisha.
Hata ningekuwa Mimi,ningeanza na mitandao yote inayojimilikisha utajiri wa nchi.
 
Alianzisha mfumo mbaya wa kusifu na kuabudu watawala.

Alianzisha au aliendeleza mauaji ya wapinzani wowote nje na ndani ya chama na Serikalini.

Hakutaka kabisa demokrasia ya vyama vingi tofauti na usemi wake kwamba serikali haina vyama.
 
Tatizo kubwa la nchi yetu ni vita ya makundi ya kisiasa na Wananchi kugeuzwa sheen guard.

Tabia za ukatili za Magufuli huwezi kuzisafisha hata kwa Jik.

Athari za Magufuli bado zitatuandama kwa muongo mzima ujao.
Walioumizwa nae moja kwa moja hawawezi kumsahau mpaka siku wanaondoka juu ya uso wa dunia.

Lakini JPM alianzisha changamoto chanya sana katika namna kiongozi mkuu anavyotakiwa ajikite kwenye matumizi mazuri ya akili.

Daraja la Tanzanite lilipingwa na watumiaji wa leo hii wakiamini ni matumizi mabaya ya pesa, limemalizika na linasaidia kupunguza foleni.

Daraja la Busisi lilichukuliwa sawa na upotezaji wa pesa nyingi, limekamilika na hivi sasa linakwenda kuchangia katika ukuzaji wa uchumi wa Mwanza na mikoa ya jirani.

JPM alijawa na hasira na pupa za maamuzi lakini kivitendo alikuwa yupo njema sana.
 
Just to put records straight...wabunge wote walio leta hii hoja ya kuongezwa muda hawakurudi 2020 hio ndo ilikua adhabu yao. Juma Nkamia, Kangi Lugola na Kessy.! Ni vile tu watu hamfuatilii mambo na ku connects dots.
 
#mtanikumbuka

Kiukweli mzee alikuwa anatambua hana maisha marefu,kauli zake mingi zilikuwa kama mtu anajiandaa kuondoka

JPM🕊️
Maelezo ya Polepole ndiyo yamenifungua macho kuwa ni kwa nini kauli za kuonesha maisha yake yapo hatarini zilikuwa nyingi.

Alipokuwa Waziri hakuwa na kauli kama zile hata kama kwenye uwaziri alidai alinyweshwa sumu.
 
Polepole anapozidi kumshambulia Samia kwa kumtafutia huruma JPM anachoshindwa kuelewa ni ukweli kwamba kwa kufanya hivyo anazidi kujenga mazingira ya kumchafua pia hayati JPM.

Anatumia siasa za hatari kwa kuangalia upande mmoja tu.
Simple atokeze mtu mwingine atetee mazuri ya jk na aseme mabaya ya magufuli tupime kwa mzani kama hamna means Jpm ni mshindi uko alipo
 
Ukabila sio mzuri hatimaye alisalitiwa na msukuma mwenzie
Watu wa Masaki mmekuja na hoja dhaifu sana.... Magufuli hakuwa mkabila ila watu wa Kanda ya ziwa walifurahia kupata Rais kutoka kwao.

Mbona mkutano wa CCM kujaa mwanza huwa mnakuja hapa kujisifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…