Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Kwenye hotuba zake alikuwa anapenda sana kusema maneno haya;
1. Ndugu zangu watanzania mniombee
2. Ndugu zangu watanzania hakuna vita ngumu kama vita ya uchumi.
Nyie msio na uwezo wa kuchambua kwa ufupi wa akili zenu ndiyo mlikuwa mnaona kama ni maneno ya mtu mwema. Magufuli was a DEVIL
 
Wewe ni chawa wa Magufuli yeye ni chawa wa Samia mna utofauti gani ?
Mimi ni chawa wa mwalimu Nyerere. CCM baada ya Nyerere ni hovyo na hakuna hata kiongozi mmoja anayenivutia. Japo wanatofautiana na Kikwete ndiye mbovu kupindukia.
 
Mimi ni chawa wa mwalimu Nyerere. CCM baada ya Nyerere ni hovyo na hakuna hata kiongozi mmoja anayenivutia. Japo wanatofautiana na Kikwete ndiye mbovu kupindukia.
Nyerere naye wa hovyo tu kama wanaccm wengine.
 
Jamaa nahisi kabla ajaingia ndani alijua atawamudu alivoingia ndani zaidi akaona ngoma ngumu.

Rip jpm
 
alikuwa anajua wahuni tu, ndio maana alikuwa hataki wasikiliza. Na alipo jaribu wasikiliza na kukaa nao ndio ukawa mwisho wake
Siku zote adui wa ndani na humjuwi ni hatari sana
Anyway Acha tuendele kuwa watazamaji na wasikilizaji

Ova
 
Magufuli aliukataa mfumo mzima wa upinzani wakati alipaswa apambane na hao "wasaliti" na sio kutaka kufuta kabisa mfumo wa vyama mbadala...

Tazama sasa madhara ya alichokifanya sasa, hakuna mbadala na wenye CCM 'wamemuondoa' na wala hakuna wanaoweza pambana na jinamizi CCM...
Vyama mbadala gani vya zitto na mbowe wanamtandao bora angevifuta kabisa
 
Unaongelea matibabu ya TAL? Kwanini usiongelee tukio la kutaka kumuua Lissu? Magufuli alikuwa ni shetani kwenye umbo la binadamu (Satan trapped in human body)

Alipanga kabisa timu ya wachimba kaburi Ikungi, yaani maiti ikitoka Dodoma isije Dar iende moja kwa moja Ikungi.

Alizuia Lissu asifanyiwe maombi na watu walio print Tshirt za Getwell TAL walikamatwa.

Akamnyang'anya ubunge wake kwa kushirikiana na Ndugai na akamnyima mafao ya ubunge
Lissu nae alitumiwa na wanamtandao bila yeye kujua kupitia Mbowe simple
 
Vipi kuhusu;-
1. Tsh 1.5 Trillion zilizoibuliwa na CAG 2016/17 na kisha kumfukuza CAG kazi

2. Fedha za Plea bargain feki alizokuwa anakusanya na DPP Biswalo Mganga na kuzificha China

3. Ununuzi wa ndege kupitia Boeing bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma??

4. Mikataba ya akina Mayanga construction kujenga Chato International Airport

Nimesema machche lakini nataka nikuhakiishie hata Magufuli hakuwa na uchungu na mali za umma, bali alikuwa ni fisadi sawa na mafisadi wengine wa CCM.

Sina huruma naye kwa kuwa hata yeye Magufuli alikuwa anapanga kuwauwa wenzie, ni kwamba tu walimtaimu akaondoka yeye.

Polepole hana jipya
Walikuwa kila mtu anamwinda mwenzake
 
Ni nani anayepima mtu kuwa ni adui wa Taifa au Rafiki wa Taifa? Je kama ni adui wa Taifa kwa nini hakumpeleka Mahakamani? Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu?? Hebu shirikisha ubongo kwenye kabla ya kuandika
Adui mbaya anakuwa eliminated "do not suffer the witch to live" Kwa waislam ndiyo Jihad nadhani...Hata Mungu anaruhusu kama mkristo utajua Soul alinyang'anywa ufalme kwakushindwa kuwa mtii kwenye righteousness na Moja ya kosa ni kushindwa kuondoa wafilist wote kwakuwa uwa na kuwa teketeza lakini roho ya ufisadi ikamfanya akakosa utii, Ulaya waliua wachawi wote ndiyo wakapata haya maendeleo na culture ya kunyooka katika haki, Leo Kwa kosa la Mfalme Soul wafilisti wanaitesa Dunia na Kila mtu anadhani wanaonewa kumbe ni kizazi Cha laana!
 
Nyie msio na uwezo wa kuchambua kwa ufupi wa akili zenu ndiyo mlikuwa mnaona kama ni maneno ya mtu mwema. Magufuli was a DEVIL
In my perspective the opposite is true!
 
Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?
Kwenye halmashauri kote nchi nzima alijaza watoto wa wajomba na mashangazi zake. Alijaza kina Makonda, Mpina na wengi wa kabila lake.

Hilo halikuwa muhimu sana kulinganisha na namna alivyopiga kazi na kutanguliza maslahi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom