Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole na Bashiru watoe dondoo za ile ripoti ya uhakiki wa mali za CCM hadharani maana wale wezi wanajisahaulisha na sasa ndio wasemaji wa CCM na kujitwalia utetezi wa mwenyekiti wao.
Wakifanya hivyo watakuwa wamewatendea haki watanzania.

Bulembo na Nape Nnauye ni sehemu ya wahuni anowasema Poleople.
 
Polepole ni unyasi mkavu. Dunia inakushangaa unaye hangaika kujibu huo unyasi mkavu. JPM alisha tufanya tukasahau vilaza wa aina hii kwenye siasa za Tanzania naona wanarudi kwa kasi getifyaita.
 
Polepole ni unyasi mkavu. Dunia inakushangaa unaye hangaika kujibu huo unyasi mkavu. JPM alisha tufanya tukasahau vilaza wa aina hii kwenye siasa za Tanzania naona wanarudi kwa kasi getifyaita.
Atajutia sana kuwamaliza wahuni wakati alipokuwa na dola
 
Kuna aliba V 8 kadhaa za chama za chama nasikia.
Hio ya V8 alikuwa akijisifia kuwa nae ana gari hiyo.

Ni ushamba tu lakini alieleweka.

Sisi twapaswa kujikita kwenye hoja ya Poleople kuwa serikali hii ya sasa ni ileile ya awamu ya 5 mpaka 2025.

Poleople ajibiwe kwa hoja hiyo.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Punda bado anarusha mateke kisu kipo ukingoni kukata shingo yake
 
Nionavyo hapa kuna jambo linapotezewa attention hasa ile issue ya TPA , ila pengine huko mbeleni there is something coming so wanaandaa mazingira likitokea isiwe big issue wakati huo hii sinema ya Chakubanga na Mzee wa kupiga magoti itakuwa ndio imekolea imefana .

Time will tell!!
Hamna cinema watu huko CCM wanavurugana.
 
Hio ya V8 alikuwa akijisifia kuwa nae ana gari hiyo.

Ni ushamba tu lakini alieleweka.

Sisi twapaswa kujikita kwenye hoja ya Poleople kuwa serikali hii ya sasa ni ileile ya awamu ya 5 mpaka 2025.

Poleople ajibiwe kwa hoja hiyo.

Hukusikia akisema Bashiru ni Cuf kwa nini apewe kazi ya kuchunguza mijizi ya mali za CCM? Na JPM (riep) akamfaya KM wao. Huyu shujaa wa TZ kizazi hiki- JPM alijua kushughulika na wanafiki wa kisiasa kisawasawa.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Huyu kachanganyikiwa. Anaongea vitu viwili tofauti alipaswa kusem kwenye ccm wanachama wote ni sawa sio wanadamu wote ni sawa
 
Polepole nenda Polepole ili usianguke. Ila sio mbaya muda sio mrefu na yeye atavuna alichokipanda kipindi cha Mwendazake.
Unajua ni raha kukanyaka wenzako ila siku na wewe ukikanyagwa ......
Its all games until its your turn to swallow your pride! Mbilinge mbilinge haziishi
 
WAZO KUU LA PRESS YA POLEPOLE;

Nilichokiona kama ujumbe mkuu katika Mkutano wa Polepole na Waandishi wa Habari ni hili;

Nimeanza kukutana na mkono wa Serikali, nimepewa mashtaka ya kujibu kwa TCRA kwa tuhuma za Kuvunja Kanuni za Maudhui za Kimtandao (Online Content Regulations) kwahiyo Jumatatu tarehe 13.12.2021 nimeitwa kujitetea mbele ya Mamlaka hiyo ya Mawasiliano (TCRA); naombeni huruma (sympathy) ya Watanzania kwani nahisi naonewa.

POLEPOLE amezunguka sana kuelezea "historia" ya Shule yake ya Uongozi, lakini kumbe target yake ilikuwa ni kuelezea jinsi gani ameanza kukutwa na MADHIRA ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao, ambazo zilitungwa na Awamu ya 5 Serikali ya Magufuli wakati yeye mwenyewe akiwa Mshauri wa karibu wa Magufuli, kwa lengo la kuwahushughulikia Wakosoaji wa Serikali yao kwa kutumia mitandao.

Wengi walikosoa sheria hizo mbaya, lakini zilitumika kuwazimisha wakosoaji binafsi na hata Online TV, Polepole hakutumia dhamana yake kuwasemea Watu waliopata madhara hayo.

Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.

Anatutangazia kwamba ameitwa TCRA, ili tumsaidie nini?

Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza madaraka yao.

POLEPOLE yamemkuta na ni mfano mzuri.

Pole lakini jikaze.
Shimo alilolichimba wanamfukia mwenyewe
 
Hayo mengine mkuu mie hata nife leo ntakuwa nimejua kesho ni j3 (napingana na wewe kusema hakuna ajuaye kesho) kesho j3 nife nizikwe leo nsha ijua kesho
Acha upopoma.nenda facebook ukaendeleze huu ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom