Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Polepole anagombea madaraka ndani ya CCMTuangalie taifa letu zaidi sukuma gang au msoga gang ni ujinga mtupu na wote mnaoshabikia mnastahili kupimwa akili
ENZI Zake asingeruhusu watu waongee
Polepole anagombea madaraka ndani ya CCMTuangalie taifa letu zaidi sukuma gang au msoga gang ni ujinga mtupu na wote mnaoshabikia mnastahili kupimwa akili
Usiwe mpuuzi kama Lisu wa MIGA angalia masilahi ya taifa zaidi
Hii ni somo hatimaye kesho ya polepole imefikaAta wewe unayemwita polepole kiroboto hujui kesho ndo raha ya maisha
Hayo mengine mkuu mie hata nife leo ntakuwa nimejua kesho ni j3 (napingana na wewe kusema hakuna ajuaye kesho) kesho j3 nife nizikwe leo nsha ijua kesho
"Two wrongs don't make a right""Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES
So 🤷🤷🤷Ukweli mtupu.
Wote waliozaliwa 1991 kurudi nyuma baba na mama zao walikuwa CCM.
Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
Anawacha kwa point tuKiroboto amepanic
Polepole tulia dawa ikuingie kiroboto mkubwa wewe.Ata wewe unayemwita polepole kiroboto hujui kesho ndo raha ya maisha
Acha ushambaKiroboto amepanic
Kiroboto anaelekea kudata.Labda ww ndo uijui Mie najua kesho ni jumatatu na watu wataenda makazini kama kawa.
umeongea kweli kabisa mkuu tatizo hawa jamaa wakipataga madaraka wanajisahau kabisa wapi walipotoka wanapoelekea pia acha yamkute asitusumbue pumbavu zakeWAZO KUU LA PRESS YA POLEPOLE;
Nilichokiona kama ujumbe mkuu katika Mkutano wa Polepole na Waandishi wa Habari ni hili;
Nimeanza kukutana na mkono wa Serikali, nimepewa mashtaka ya kujibu kwa TCRA kwa tuhuma za Kuvunja Kanuni za Maudhui za Kimtandao (Online Content Regulations) kwahiyo Jumatatu tarehe 13.12.2021 nimeitwa kujitetea mbele ya Mamlaka hiyo ya Mawasiliano (TCRA); naombeni huruma (sympathy) ya Watanzania kwani nahisi naonewa.
POLEPOLE amezunguka sana kuelezea "historia" ya Shule yake ya Uongozi, lakini kumbe target yake ilikuwa ni kuelezea jinsi gani ameanza kukutwa na MADHIRA ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao, ambazo zilitungwa na Awamu ya 5 Serikali ya Magufuli wakati yeye mwenyewe akiwa Mshauri wa karibu wa Magufuli, kwa lengo la kuwahushughulikia Wakosoaji wa Serikali yao kwa kutumia mitandao.
Wengi walikosoa sheria hizo mbaya, lakini zilitumika kuwazimisha wakosoaji binafsi na hata Online TV, Polepole hakutumia dhamana yake kuwasemea Watu waliopata madhara hayo.
Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.
Anatutangazia kwamba ameitwa TCRA, ili tumsaidie nini?
Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza madaraka yao.
POLEPOLE yamemkuta na ni mfano mzuri.
Pole lakini jikaze.
Ila huko mjini kwenu mnapenda starehe vile vyura vilifanya niwe high ikabidi tu nikodolee tu TV huku nikijuta kwa nini nipo huku mkoani.ni waimba taarab wote hawa tuwape vijora,sijui hawakuona party ya jana ya "raha za uswahilini" tuserebuke nao??
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES