Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole hana busara kabisa, wote sie waswahili, ukimsema mwenzako kimafumbo eti muhuni, anang'amua na anajijua, yeye mwenyewe amewachokoza, akiwa anajijua ana madhaifu kibao. Akiwa kiongozi mwandamizi alishuudia mambo mengi ya kijinga, kuanzia uonevu, ufisadi, kuvuruga demokrasia na diplomasia, akunyanyua mdomo, ajifunze kwa Pinda, ikipita zama zako kaa kimya au unga mkono walio madarakani, hata kama wanaharibu, Pinda leo nae amebadilika anafiti!
Hapana acha moto uwake na CCM ifie mbele.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Kama ungejuwa binaadam wote nisawa kwanini hukumshauri mwendazake asiharibu uchaguzi na umoja wetu.
 
Watu walioanzia chipukizi ya CCM mpaka kuja kuwa viongozi ni Nape, marehemu Nnauye, Bulembo, Membe, Kinana, Mzee Makamba, JK, Lowassa; na wao tu ndio makada waliopitia jeshini au usalama wa taifa. .

Wengine wote ni wavamizi tu, kwa mujibu wao.

Wasijiite wenye chama labda watu wanaotaka kujimikilisha chama na mali zake. Vinginevyo taasisi ya siasa ni mali ya umma sio kikundi cha watu.

Hiyo nadharia tu ya kujiita wenye chama ni sababu tosha ya wanachama wengine kuwakataa.

Mzee Wasira amekuwa akiandika election manifesto ya CCM miaka kadhaa na mabadiliko ya ndani ya CCM tangia ujana wake, lakini kamwe ajawahi kujiita mwenye chama so are many other cadres ambao wameacha alama jinsi mechanism itakavyofanya kazi.

Hawa wanaojiita wenye chama leo ni matapeli tu wanaodhani wana hati miliki; CCM ni mali ya umma inayoendeshwa na katiba, watutolee upuuzi wao.

Chama chao wao ndio walikianzisha, si walikikuta wakajiunga tu kama wengine wote leo.
 
Wacha waendelee kugombana mwisho watatajana tuu waliompoteza ben saanane.
 
Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.

Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza
Exactly. Mkuki kwa nguruwe.

Polepole hakuona tatizo wakati TCRA inadukua simu binafsi za wakosoaji ndani ya CCM.

Jana wamemhukumu miaka kumi jela mpinzani wa rais wa Benin. Wafuasi wake wamesema ni kesi ya kubambika, which is true, kwenye vi shit hole country vyetu hivi ukimaliza tu kugombea unakamatwa.

Lakini jamaa alikuwa Waziri wa Sheria wa Benin miaka kumi awamu iliyopita. Ali enjoy hizo kesi za kubambika kwa wengine, mahakama dhaifu, sheria kandamizi; hakuzibadilisha. Kwa sababu zilisaidia genge lake la uhalifu kubaki madarakani. Leo yamemkuta. Polepole nae akalinywe supu la TCRA alilolikoroga akiwa na vyeo.
 
WAZO KUU LA PRESS YA POLEPOLE;

Nilichokiona kama ujumbe mkuu katika Mkutano wa Polepole na Waandishi wa Habari ni hili;

Nimeanza kukutana na mkono wa Serikali, nimepewa mashtaka ya kujibu kwa TCRA kwa tuhuma za Kuvunja Kanuni za Maudhui za Kimtandao (Online Content Regulations) kwahiyo Jumatatu tarehe 13.12.2021 nimeitwa kujitetea mbele ya Mamlaka hiyo ya Mawasiliano (TCRA); naombeni huruma (sympathy) ya Watanzania kwani nahisi naonewa.

POLEPOLE amezunguka sana kuelezea "historia" ya Shule yake ya Uongozi, lakini kumbe target yake ilikuwa ni kuelezea jinsi gani ameanza kukutwa na MADHIRA ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao, ambazo zilitungwa na Awamu ya 5 Serikali ya Magufuli wakati yeye mwenyewe akiwa Mshauri wa karibu wa Magufuli, kwa lengo la kuwahushughulikia Wakosoaji wa Serikali yao kwa kutumia mitandao.

Wengi walikosoa sheria hizo mbaya, lakini zilitumika kuwazimisha wakosoaji binafsi na hata Online TV, Polepole hakutumia dhamana yake kuwasemea Watu waliopata madhara hayo.

Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.

Anatutangazia kwamba ameitwa TCRA, ili tumsaidie nini?

Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza madaraka yao.

POLEPOLE yamemkuta na ni mfano mzuri.

Pole lakini jikaze.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES
Uyo kiroboto ndo tushampoteza ivo
 
WAZO KUU LA PRESS YA POLEPOLE;

Nilichokiona kama ujumbe mkuu katika Mkutano wa Polepole na Waandishi wa Habari ni hili;

Nimeanza kukutana na mkono wa Serikali, nimepewa mashtaka ya kujibu kwa TCRA kwa tuhuma za Kuvunja Kanuni za Maudhui za Kimtandao (Online Content Regulations) kwahiyo Jumatatu tarehe 13.12.2021 nimeitwa kujitetea mbele ya Mamlaka hiyo ya Mawasiliano (TCRA); naombeni huruma (sympathy) ya Watanzania kwani nahisi naonewa.

POLEPOLE amezunguka sana kuelezea "historia" ya Shule yake ya Uongozi, lakini kumbe target yake ilikuwa ni kuelezea jinsi gani ameanza kukutwa na MADHIRA ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao, ambazo zilitungwa na Awamu ya 5 Serikali ya Magufuli wakati yeye mwenyewe akiwa Mshauri wa karibu wa Magufuli, kwa lengo la kuwahushughulikia Wakosoaji wa Serikali yao kwa kutumia mitandao.

Wengi walikosoa sheria hizo mbaya, lakini zilitumika kuwazimisha wakosoaji binafsi na hata Online TV, Polepole hakutumia dhamana yake kuwasemea Watu waliopata madhara hayo.

Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.

Anatutangazia kwamba ameitwa TCRA, ili tumsaidie nini?

Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza madaraka yao.

POLEPOLE yamemkuta na ni mfano mzuri.

Pole lakini jikaze.
Hakuna cha pole hapa. Namomba Mungu akafanye njia pasipo njia ili wote waliofurahia madhila ya awamu ya tano wapokee ijara yao
 
Una overthink. Mvutano upo .
Nionavyo hapa kuna jambo linapotezewa attention hasa ile issue ya TPA , ila pengine huko mbeleni there is something coming so wanaandaa mazingira likitokea isiwe big issue wakati huo hii sinema ya Chakubanga na Mzee wa kupiga magoti itakuwa ndio imekolea imefana .

Time will tell!!
 
Mijadala kama hii kupitia comments unaweza kubaini wtz wengi ni mbumbumbu......
hawajui wanataka nini wanakwenda wapi.....
kwa mustakabali wa taifa lao.....
wamejikita kwenye makundi tu
Yaani nimeangalia comments, nyingi zimekaa kishabiki, chuki dhidi ya mtu fulani, kujipendekeza, visasi, na matusi yasiyo na maana yoyote. Watanzania bado sijaona wenye uchungu na nchi yao na kutoa hoja zenye kuijenga Tanzania ya leo na ijayo. Bado watanzania hatuko serious na itatuchukua miaka mingi zaidi kupata maendeleo ya kweli.
 
Aendelee kupiga za usoni.....naona wakija kupiga chini ya belt..
 
WAZO KUU LA PRESS YA POLEPOLE;

Nilichokiona kama ujumbe mkuu katika Mkutano wa Polepole na Waandishi wa Habari ni hili;

Nimeanza kukutana na mkono wa Serikali, nimepewa mashtaka ya kujibu kwa TCRA kwa tuhuma za Kuvunja Kanuni za Maudhui za Kimtandao (Online Content Regulations) kwahiyo Jumatatu tarehe 13.12.2021 nimeitwa kujitetea mbele ya Mamlaka hiyo ya Mawasiliano (TCRA); naombeni huruma (sympathy) ya Watanzania kwani nahisi naonewa.

POLEPOLE amezunguka sana kuelezea "historia" ya Shule yake ya Uongozi, lakini kumbe target yake ilikuwa ni kuelezea jinsi gani ameanza kukutwa na MADHIRA ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao, ambazo zilitungwa na Awamu ya 5 Serikali ya Magufuli wakati yeye mwenyewe akiwa Mshauri wa karibu wa Magufuli, kwa lengo la kuwahushughulikia Wakosoaji wa Serikali yao kwa kutumia mitandao.

Wengi walikosoa sheria hizo mbaya, lakini zilitumika kuwazimisha wakosoaji binafsi na hata Online TV, Polepole hakutumia dhamana yake kuwasemea Watu waliopata madhara hayo.

Leo yeye anailalamikia sheria aliyoshiriki kuitunga na akafurahia kuitumia kuwadhibiti wakosoaji na Wachambuzi wa siasa enzi za Magufuli.

Anatutangazia kwamba ameitwa TCRA, ili tumsaidie nini?

Wabunge kadhaa waliwatahadharisha sana WanaCCM kwamba Sheria zinazotungwa zinaweza kutumika kuwahushughulikia wao wenyewe baada ya kupoteza madaraka yao.

POLEPOLE yamemkuta na ni mfano mzuri.

Pole lakini jikaze.

Weee kimeumana[emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom