Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Sijui umeandika nini hapa. Naona kama unaleta uchonganishi tu..usidhani kama wananchi hatumsikilizi polepole...Polepole amekuwa kiongozi mzuri tena anam support Rais kwa asilimia 100.. na anamtahadharisha mama awe makini kwasababu Kuna kundi la wahuni masalia ambao wanaweza kumwangusha mama..hivyo awe makini...huyu kijana Polepole ameiva sana na nadhani mama amtumie huyu vizuri kichama...kwa sababu Ana itikadi zile ambazo wananchi wangependa kuzisikia...nanndio maana anavutia watu wengi sana
Wewe endelea kumfatilia na kumuhusudu huyo kiroboto ila soon wenye chama chao wanamkata mkia na huna cha kuwafanya.

Sheikh hili twanga pepeta lina wenyewe.

👇
"Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu" - Bulembo
 
Nafurahi kuyaona na kuyasoma haya
Msiwasihi wanyamaze
Waendelee tu maana hakuna msafi hata mmoja
**********************Ila msisahau Katiba Mpya wasiwatoe kwenye mstari
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Wahuni watanyooka tu kwa HPP.
 
Hao wenye koment za chuki ni kikundi tu cha nyumbu wala wasikukatishe tamaa ya kuoigania taifa lako
Tatizo la nyumbu hawajui wasimamie nini wao ni kurukia rukia tu mambo bila kuwa na uelewa.
 
Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
1. Siyo kweli na hajijalishi- atafungwa tu ikipatikana na hatia;
2. Tanzania huru ilimpa Mbowe nyumba kwa bei ya pango ama bure pale Bilcana na akajaribu kuwaonyesha watanzania pale ni kwake na nyumba ile ni yake kumbe mpangaji
 
Ukweli mtupu.

Wote waliozaliwa 1991 kurudi nyuma baba na mama zao walikuwa CCM.

Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
Acha kudanganya wapo wengi waliotoa msaada kama akina Rupia na wengine wengi tu.
 
Polepole wakati akiwa kwenye pick akiwananga wenzake walivumilia kwa backup aliyokuwa nayo kwasababu alikuwa na mamlaka ,Sasa hivi wao ndo wanamamlaka kwahiyo awe mpole tu ni zamu yake kula vumbi ,(karma is bitch).
 
Mi naomba wazee na vijana wao waache kupambana na polepole mwezao ameingia kwenye chama miaka ya karibuni anayajuwa mengi ya chama na serikali maana alikuwa msaidizi wa karibu wa JPM na anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo kwa hoja naona maadui wake wanamjibu kwa hasira na kejeli Sijuwi tunaelekea wapi? Kama Taifa kwa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom