Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Ukweli mtupu.

Wote waliozaliwa 1991 kurudi nyuma baba na mama zao walikuwa CCM.

Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
Ni kwa Nini huyo baba hakuenda un kuichukua iyo hati lakini ama ndo Ile kujipendekeza kwa kiongozi
 
Pole pole wenyewe hawakutaki.
Mbona mwenzio Dr Bashir kakaa kimya.
Nini unachokipigania?
UKIACHWA ACHIKA
 
Ukweli mtupu.

Wote waliozaliwa 1991 kurudi nyuma baba na mama zao walikuwa CCM.

Babake Freeman Mbowe ndiye alimpa Nyerere nauli kwenda UN kuchukua hati ya Uhuru!
Baba yake yupi Freeman?

Kuwa serious.
 
Polepole na kundi lake kama kweli wanaangalia kuanzisha chama cha siasa wafanye hivyo ili kuwapa changamoto CCM.

Hayati Mwalimu Nyerere alisema kuwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM na si nje.
 
Nadhan utoto unakusumbua,kuijua kesho maana yake yale yanayoweza kukutokea hapo ulipo hata dakika 20 tu zijazo hujui nn kitatokea
Iyo ni tafsiri yako sijui umetumia kamusi gani?

Mie naijua kesho ni jumatatu we kama huijui ni wewe
 
Hakuna cha polepole wala Nape,wala Bulembo wala Samia wote hawa siku yaja ni kufyekelea mbali.MACCM yote ni mashetani tu.
 
Polepole anahitaji msaada wa kisaikolojia
Haamini kuwa karata za power zimeshachangwa upya, aliyekuwa na dume round iliyopita round hii kalamba mzungu wa pili😁
Hapana, Polepole anachojadili kilipaswa kiwe mjadala wa kitaifa ili sisi watanzania tuamke tuwe wazalendo
 
Polepole vs Wahuni...

Umeshakuwa mjadala wenye gumzo kiasi kwamba shughuli za mama Samia zinaweza funikwa na majibizano ya hawa wanaCCM kindakindaki
 
Polepole na Bashiru watoe dondoo za ile ripoti ya uhakiki wa mali za CCM hadharani maana wale wezi wanajisahaulisha na sasa ndio wasemaji wa CCM na kujitwalia utetezi wa mwenyekiti wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom