Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Huyu jamaa atakuwa na nguvu kubwa nyuma yake.
 
Ana haki kama raia kuongea na kushauri
Kuna watu waliuliwa,walifungwa,walitekwa ,walifilisiwa aliongea nini?

Kabla ya kuanza kuikosoa serikali hii.
Aanze kukosoa serikali yake iliyopita
Atuambie matendo yote ya kuua na kuteka walikuwa wanafanya akina Nani Kama kweli anataka kuisaidia nchi
 
Majibu ya dogo mbona yapo too wise..ni majibu ya kiungwana tena kwa lugha yenye staha..

Usije kushangaa ikaripotiwa kwamba
polepole amewatukana akina bulembo.
 
Wanapotunga sheria mbaya na Kufanya Maovu hudhani hazitawagusa....Sasa wananyukwa na sheria na kanuni zile zile za hovyo.
 
Wanampeleka POLE POLE Haraka Haraka
20211213_202551.jpg
 
Polepole soma alama za nyakati utapotea. Tembo hajasahau kwamba yeye ndio mkubwa msituni. Enenda kwa hekima.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
kiroboto ana matatizo sana, kwa hakika anachokitaka atakipata tu kwenye awamu hii
..waswahili wanasema mwana kuli find mwana kuli gain...kwaiyo historia ya tund...lis... itajirudia kwa kiroboto asipokuwa makin....all the way up kiroboto nchi ya baba ako hii
 
Siasa iliyokufa..Uchumi wa mikopo..Kufumbiana macho katika makosa ya makusudi hakutosaidia..
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
Polepole kwanza pole kwa WAHUNI kukuvunjia dirisha la nyumba yako kukupekua na kupora, pili kwenye hili nakuunga mkono asilimia mia, CCM haina mwenyewe na kama kuna mtu anafikiri hivyo basi anajidanganya peke yake mchana kweupe.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
HAPO CHA CHA! MNYAMWANGA KAKAZA SHINGO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom