Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
Na bulembo je?Huyu Polepole ni mbaya sana kwani alikuwa anafurahia sana kipindi cha awamu ya tano wapinzani walivyokuwa wakishughulikiwa si mtu wa kumuonea huruma let him face the music huko ndani ya CCM