Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

Maisha yanakwenda kasi sana.

Kutoka kuwapigia simu mawaziri na kuwapa amri mpaka kuitwa kiroboto na mtu kama nape.

Amma kweli hakuna aijuae kesho.
Maisha yaenda kasi sana .....muda mwalim mkuu
 
Maisha yanakwenda kasi sana.

Kutoka kuwapigia simu mawaziri na kuwapa amri mpaka kuitwa kiroboto na mtu kama nape.

Amma kweli hakuna aijuae kesho.
Labda ww ndo uijui Mie najua kesho ni jumatatu na watu wataenda makazini kama kawa.
 
Polepole nenda Polepole ili usianguke. Ila sio mbaya muda sio mrefu na yeye atavuna alichokipanda kipindi cha Mwendazake.
Unajua ni raha kukanyaka wenzako ila siku na wewe ukikanyagwa ......
Wala hakuna alichokipanda zaidi ya kuirudisha ccm kwa wanachama
 
Huyu Polepole ni mbaya sana kwani alikuwa anafurahia sana kipindi cha awamu ya tano wapinzani walivyokuwa wakishughulikiwa si mtu wa kumuonea huruma let him face the music huko ndani ya CCM
I salute you avune alichopanda.Nape alivuna alichopanda wakati wa mwendazake.It is the right time for him and his associate Bashiru makonda etc
 
Watu watakwenda kazin,ucsahau pia ukafa na kesho hyo hyo ukazikwa nguchiro waheed we
Hayo mengine mkuu mie hata nife leo ntakuwa nimejua kesho ni j3 (napingana na wewe kusema hakuna ajuaye kesho) kesho j3 nife nizikwe leo nsha ijua kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom